Njia za kupata mke au mume

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,416
7,969
Nimejifunza sana kuhusu ni njia zipi za kupata mume mke.

1.Kila siku vaa kwa staha, uwe unanukia vizuri, usinuke mdomo, kikwapa

2.Shiriki mikutano ya kidini, mikutano ya nzengo, makongamano ya kidini

3. Jisajili kwenye dating app za uhakika

4.Wiki endi nenda bichi, pub zenye hadhi

5.Usiwe unajibu watu kwa mdomo mchafu, usiwe muongo, usiombe hela, ukialikwa pub au hoteli, agiza vinywaji au chakula cha bei nafuu

6.Shiriki mbio za marathon mbalimbali

7.Ukimpenda au kaka usisite kumwambia

8.Kama ni mwanamke pochi lako liwe na vifaa vyote vya urembo, leso, notebook na kalamu nzuri isiyovuja, pipi za harufi nzuri, swipes kama ni mwanaume uwe begi la kiume lenye notebook, kalamu mbalimbali,self sticking notes, pipi za harufu nzuri, leso safi, mswaki na dawa yake

9.Kila unapotoka nje sali kumuomba Mungu akusaidie upate mume au mke

10.Njoo inbox uniambie sifa mwenza unaemtaka
 
3, 4 & 6 zaweza kukufanya wala usiwaze oa/olewa -- matukio hayo yamekuwa yakihusishwa na ongezeko la usaliti

11. Connection muhimu sanaa .... kwenye jamii kuna watu wana taarifa za me/ke ijapokuwa zaweza kukusaidia ama kukupoteza mazima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom