Anayejua taratibu za kujiunga JKT/JWTZ

Anayejua taratibu za kujiunga JKT/JWTZ

mr promise

Senior Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
142
Reaction score
135
Habarini wana JF!

Mimi ni moja na wato wenye malengo ya kujiunga na jeshi baada ya kumaliza mafunzo kwa mujibu wa sheria hvo napenda kujua itanichukua muda gani mpaka kupata uprivate na hatmaye nyota.

#
 
Akili zimeishia kwenda kuajiriwa jeshini tu,sikiliza jeshi linataka mtu mzalendo kweli iwe kwa nyota au uprivate masuala ya kufata ajira na hela huku tutawapeleka somalia huko frontline mkaonje joto ya mawe
 
unataka huu mziki!?? uko tayari kutetea taifa.. huku hakuna hela ya bure.. wallah bwa mdogo huku sifa ni uzalendo na kua gado... unless otherwise baki nyumbani.

program za kusaka wataalamu wa jeshi zipo hasa kwa wale wenye elimu ya kuanzia kidato cha 6, ukikosa huko... kama ni mzalendo kweli na afya inaruhusu na una hamu na nia thabiti ya kuwa askari wa JWTZ anza JKT... Kila la kheri

Huku sifa kuwa gado.
 
kijana wako mmoja hivi, ina maana humjui mwanao?

ashindwe maisha ya chuo je jeshi ataliweza mikiki yake au ni kwamba material hayapandi lakini ana nguvu za jeshi.

mpe pole....
 
Mpe mtaji... ameshindwa kutumia akili ataweza kutumia nguvu!?
 
Back
Top Bottom