Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

Kwa waisilamu inawezekana wakampokea, mbona Muslim University of Morogoro wanapokea Form Six waliopata division Four na zero, na wamekataa applicants wao kupitishia application zao TCU!

hakuna kitu kama hicho wewe, acha kupotosha watu.
 
huu udini ndio unadororesha maendeleo, si bora akasomee usheikh kabisa
 
Mpeleke either Nyasaka Islamic,Taqwa,Thaqaafa au Bismarck zote za kiislam lakini adaa mil 2+ kwa mwaka.Ukitaka aende kukua Tu mpeleke Islamiya
 
Jamani wanajf,naamini wenyeji wa mwanza mpo na ndiyo mtakaonipa msaada wa dhati.Kuna mdogo wangu kafeli kidato cha nne,sasa nimepewa jukumu la kumtafutia shule ya kiislamu,O level na iwe Mwanza na gharama iwe chini ya Milioni! Naombeni mnisaidie wana jf,kama kuna mtu yupo anaijua na gharama zake na hata kama na mawasiliano yake nitashukuru sana.

Nawasilisha

achana na hizo mpelekeni zile za st.
 
Duu, kuuliza si ujinga, shule nyng za kikristo wanaruhusu hata wanafunzi na walimu waislam, vp kwa shule za kiislam? Wanaruhusu mwanafunz mkristo au mwl mkristo au ndo makafir?
 
Back
Top Bottom