Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

Saint H.Jr

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
47
Reaction score
40
Jamani wanajf,naamini wenyeji wa mwanza mpo na ndiyo mtakaonipa msaada wa dhati.Kuna mdogo wangu kafeli kidato cha nne,sasa nimepewa jukumu la kumtafutia shule ya kiislamu,O level na iwe Mwanza na gharama iwe chini ya Milioni! Naombeni mnisaidie wana jf,kama kuna mtu yupo anaijua na gharama zake na hata kama na mawasiliano yake nitashukuru sana.

Nawasilisha
 
Hizo shule za kiislam hazina dili, unampeleka mtoto kuvuna ujinga tu na mwisho wa siku hata akirudia form one ataishia kupata div 5.
 
Mkuu ebu tueleza anampango wa kuanza form three ama? manake shule zipo ila zinapokea form one tu

mpango wake ni form three ila plan B yake hata form two anaweza akarudia coz hata umri wake haujaenda sana
 
Hizo shule za kiislam hazina dili, unampeleka mtoto kuvuna ujinga tu na mwisho wa siku hata akirudia form one ataishia kupata div 5.

Tatizo wanawaruhusu sana kujamiiana! na wanafunzi hawatakiwi kuwa na uhuru kabisa kwani wengi akili huwa za kitineja

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mtoto ni wa kiume,muislamu na anataka shule ya Bweni Mkuu

Poa. Kikwazo kinakuja kwenye kiwango cha malipo anachotaka kutoa huyo mshua wa mtoto - 1M? Kuna baadhi ya Shule za Chekechea Mwanza zinatoza zaidi ya hiyo 1m, sembuse na Sekondari, tena Bweni! Ajipange kuanzia 2m na kuendelea. Vinginevyo, Thaquafa ina unafuu kielimu kuliko nyingine, na viboko vya wastani!
 
wewe unataka aende kupata negative 0...!!
ni heri ukakaaa nae nyumbani kulko kumpeleka huko unakotaka kumpeleka
 
Poa. Kikwazo kinakuja kwenye kiwango cha malipo anachotaka kutoa huyo mshua wa mtoto - 1M? Kuna baadhi ya Shule za Chekechea Mwanza zinatoza zaidi ya hiyo 1m, sembuse na Sekondari, tena Bweni! Ajipange kuanzia 2m na kuendelea. Vinginevyo, Thaquafa ina unafuu kielimu kuliko nyingine, na viboko vya wastani!

Nilijarbu kumwambia kwenye suala la ada,kiukweli anaonekana ni bahli sana! Mimi mwenyewe hayo yote siyafahamu kwa kwel,maana toka la kwanza hadi leo hii ninasoma Saint Kayumba,sasa kwa kweli watanisamehe!
 
Mkuu ebu tueleza anampango wa kuanza form three ama? manake shule zipo ila zinapokea form one tu
Kwa waisilamu inawezekana wakampokea, mbona Muslim University of Morogoro wanapokea Form Six waliopata division Four na zero, na wamekataa applicants wao kupitishia application zao TCU!
 
Back
Top Bottom