Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
Naombeni kujua namna ya kununua views jf maana threads zangu zimekuwa zikipata views wachache comments kiduchu hadi nimekata tamaa ya kuanzisha thread
Ukame wa viewers haujawahi kumuacha Tajirimsomi salamaHahaaa. Pole sana mkuu.

Hahahahahahhhahaaaa umejua kunifurahisha kwa kweli mpaka nimesahau stress zangu za janaJf kuna watu wa ajabu kweli wapo wanaolilia "like" na huyu analilia "views"![]()
![]()
Ndukiiiii![]()
![]()
![]()
Naombeni kujua namna ya kununua views jf maana threads zangu zimekuwa zikipata views wachache comments kiduchu hadi nimekata tamaa ya kuanzisha thread
Kabisa yaani. Ila ana haki ya kulalamika kwa kweli maana nyuzi zake hazipewi ushirikiano.Ukame wa viewers haujawahi kumuacha Tajirimsomi salama
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()