Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
Asife moyo tu, maana kuna zingine hazijawahi kuchangiwa zishakuwa makaburi na member wenyewe washatoweka kusikojulikanaKabisa yaani. Ila ana haki ya kulalamika kwa kweli maana nyuzi zake hazipewi ushirikiano.