Mahusiano ya wanandoa wanaojiendeleza kielimu yanahitaji moyo

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Mahusiano ya wanandoa wanaojiendeleza kielimu yanakuwa katika hali tete sana .Unakuta mtu kamwacha mume/mke wake nyumbani akiendelea na majukumu mengine akifika chuo anajichukulia Sheria mkononi.

Hili limekuwa likichagizwa pia na Ile hali ya watu hawa wanaojiendeleza kutumia nguvu /ahueni ya kiuchumi waliyonayo kuwarubuni hawa dogodogo ambao n fresh.(Na wengine hujiongeza wao kwa wao ,wanajiitaga in-service)

Hii nawezaithibitisha kwa kisa kilichompata rfk yangu ambaye tulikamua naye msingi.

===

Jamaa kiroho safi kamruhusu mke akajiendeleze kwa manufaa ya familia.Kapambania mahitaji yote na mengine wakisaidiana namke kwani wote ni waajiriwa.

Kiufupi wanawatoto watatu so wakakubaliana jamaa abaki na watoto kwani washaanza kusoma so ikabidi watafute mfanyakazi wa kuendelea kuwaangalia.

Maza akaenda chuo kumbe alipokuwa huko akawa anamahusiano na kajamaa flani.Kuna wanafunzi flan wanaotokea eneo anapotoka huyu rafiki yangu(yaani huko kijijini) wakawa wanamwambia mbona shem huku anaye Serengeti boy au mshazinguana Nini?(Jamaa akawaambia mbona bado ninaye huyo na tuko peace tu)

Jamaa hakutaka kuamini kwani alikuwa akipata mawasiliano mazuri kutoka kwa mkewe na kumhakikishia masomo ni mazuri t na mambo yote yako ok.

Basi bwana muda ukasogea jamaa akimwuliza mke wake kuhusu hiyo tuhuma akakataa kata kata, kwa upande wa pili tifu likahamia kwa mke na wale mashemeji wanaotokea kijijini kwa kuvujisha siri.

Jamaa anasema ikafika mahali mawasiliano yakapungua kutokana na alivyokuwa anambana kwa maswali ila wale wadau walimhakikishia kabisa
Jamaa anasema japo hakuwa ameshathibitisha mwenyewe ila anasema kuna muda alikuwa anajiuliza au nipite na huyu bnt w ndani kurevange nn ila akawa anasita)

Maisha yakaenda but siku moja uzalendo ukamshinda. (Dada akawa mtu wa muhimu kweli kwenye familia.

Siku ya siku bnt akawa ameshiba ikabidi amwambie arudi kwao atamtunza akiwa huko.

Yale maneno wf akayasikia akaleta noma Ile Ile, ila akaona amepata pa kubalancia shobo.

Alipokuwa mwaka wa mwisho unaambiwa naye penzi lake likanoga sana na kale kajamaa.Hukuna kule huku na kule kajamaa kakamjaza hyo mama.

Kumbuka hapo umebaki mwenzi mmoja wanamalizie college na ndyo wanastuka mambo yamekwiva.

#Ebanae kesho nayo ni siku utapata kujua kilichoendelea.....
 
Walio soma wafanye scanning watupe vitu vya msingi vilivyo andikwa.
Tufanyie kazi writing skills kwa kweli.
 
Walio soma wafanye scanning watupe vitu vya msingi vilivyo andikwa.
Tufanyie kazi writing skills kwa kweli.
Yaan hapo summary ni kwamba akili za kuambiwa ongeza za kwako usipende kushikwashikwa masikio mtoto wa kiume utachezea makofi
 
Mwanamke wako akitaka kwenda kusoma akuachie watoto ulee mfungashie na talaka yake aende nayo kabisa...Na kama anaenda na watoto bas vuta chombo kipya ndani maisha yaendelee.
 
Mwanamke wako akitaka kwenda kusoma akuachie watoto ulee mfungashie na talaka yake aende nayo kabisa...Na kama anaenda na watoto bas vuta chombo kipya ndani maisha yaendelee.
Na watoto wako ,itakuwaje?
 
Back
Top Bottom