henry mbata
Member
- Aug 20, 2016
- 26
- 7
mwaka wa kwanza anijuze.
umechaguliwa degree au?mwaka wa kwanza anijuze.
Bro kwan wameshakutumia admission letter, mi mwenywe nmepangwa hapohapo, diploma?diploma
Mbona Udom wanafungua Tar 5 Nov.Sema vyuo vingi vya serikali kikiwamo NIT na Udom vinaongozwa kwa maamuzi ya serikali ko usishangae kufungua ikawa mwezi Nov mwishoniDegree vyuo vingi vinafungua tarhe 15 october kutokana na muongozo wa tcu
Duh February??diploma wanafungua wa 12 bt hao wa degree wataripoti february 2017
nimepangwa nit diploma.tujuzane plzDuh February??
Duh February??
asante mr nyakandula nami nimepangwa hapo.updates plzdiploma wanafungua wa 12 bt hao wa degree wataripoti february 2017
sisi mwaka jana tulianza kuripoti mwezi november tarehe za katikati lakini kwa ratiba ilivyokaa inawezekana mkaripoti mwezi november mwishoni au december mwanzoni.... kuhusu admission letter huwa hazitumwi unafuata mwenyewe chuonimwaka wa kwanza anijuze.
samahani mkuu NIT washatoa post za degree jamnidiploma wanafungua wa 12 bt hao wa degree wataripoti february 2017
ndioDuh February??