Anayefahamu tarehe ya kuripoti chuo cha (NIT) 2016/2017

N kwel wanafungua tarehe 12 wadau? Coz kwenye website yao amna tarehe ya kufungua kama n kwel tupe ae uhakika
 
mwaka wa kwanza anijuze.
sisi mwaka jana tulianza kuripoti mwezi november tarehe za katikati lakini kwa ratiba ilivyokaa inawezekana mkaripoti mwezi november mwishoni au december mwanzoni.... kuhusu admission letter huwa hazitumwi unafuata mwenyewe chuoni
 
TuPeane taarifa za ukwel wadau juu ya kufunguliwa chuo cha N.I.T mimi nimepangiwa hapo ila cjui chuo kinafunguliwa lini
 
Back
Top Bottom