Mfumo wa udahili chuo cha NIT

Vitalismathew

New Member
Sep 29, 2023
2
0
Nilicreate account kwenye chuo cha NIT ili nimuombee mdogo wangu chuo round ya pili lakni nilipata shida ya kupata control number ya malipo ili niweze kuendelea na hatua nyingine... Lakin kila nkupiga namba ambazo wao wenyew NIT wameziweka kwenye mfumo wao(https://oas.nit.ac.tz) zimekua hazipokelewi na wakat mwingine hazipatikan kabsaa.

Hii changamoto huenda imewapata watu wengine pia. Kwa kweli inakera maana mimi tangia round ya pili nimeshindwa kumuombea program yoyote katika chuo hicho had wakati huu dirisha la tatu limefunguliwa na limefungwa jana lakini bado sijaweza kuendelea kutokana na kushindwa kupata control number ya malipo.

Nawasilisha 🙏

Screenshot_20230926-113113_1.jpg
 
Back
Top Bottom