Anayefahamu namba za kumbi za harusi dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayefahamu namba za kumbi za harusi dar es salaam

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wanan, May 4, 2012.

 1. w

  wanan Senior Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wana jf naomba msaada wenu wa kupata namba za wenye kumbi za harusi hapa dar es salaam ili nami nipate kuwe order yangu kwao napenda sana kama unayo ya diamond jublee,nssf water front,ubungo plaza,quality plaza na zingine ili nami niwe na uwanja mpana wa kuchagua,napenda kutanguliza shukurani zangu za dhati kwa wale wote watakao nisaidie,na wale ambao watanipa mawazo yao.Ahsenten


   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,136
  Trophy Points: 280
  ingia hii website utapata pia utapata mawasiliano ya wapambaji,washereheshaji MCs na mengine meengi. www.harusiyangu.com
   
 3. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2013
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Natafuta venue ya harusi ambayo ni ya nje, yenye garden nzuru za kuvutia.
  Wenye ideas tumwagieni hapa
   
 4. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2013
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Duh !! Aisee hawa majamaa wamejipanga....wana kila service & connection unayoijua wewe kwenye maswala ya weddings & parties. I hope hamna middlemen hapo cz prices zita inflate !! Otherwise wako vizuri mno !!
   
 5. n

  ni katika kazi Member

  #5
  May 7, 2013
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mwenge kama unaelekea coca cola kuna jengo linaitwa josam house. Fika hapo kuna garden ya nje safi kabisa.
   
 6. n

  ni katika kazi Member

  #6
  May 7, 2013
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
 7. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2013
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nashukuru sana! nitawacheck
   
 8. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Naomba uniPM kwani mm nafanya huduma za U-MC, Upambaji, kutengeneza keki, kutengeneza kadi za Harusi na kuweka snow katika halfa mbalimbali vilevile nitakusaisdia kupata hizo namba za ukumbi kwani harusi yako ni lini best hongera sana niifahamishe.
   
 9. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2013
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,048
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Nami naomba niku-PM kuna jamaa yangu anatafuta MC wa hivi karibuni
   
 10. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Alishapata mwingine ubarikiwe
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2013
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hela unayo lakini? Golden Tulip pale wako poa sanaaaa!
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2013
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Shosti, hongera sanaaa kumbe mjasiria mali?
   
 13. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  mpendwa wangu mm ni mjasiriamali wa siku nyingi nashukuru kwa kunipongeza kama nawe unahitaji huduma hizo niPM tutawasiliana bestito
   
 14. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2013
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Mi bado niko niko sanaaaaaaaaa! Labda tu nikushauri JINSI GANI UGEUKE TYCOON kwenye hio biashara yako! Mind u lazima mtaji uwe nao!

  Marketting consultation nakupa bureeeeeeee! mtu hakunyimi neno bwana.
   
 15. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  nashukuru sana ubarikiwe lara 1
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...