Anayefahamu kuhusu biashara ya Q-Net


Kama kakuambia ndani ya mda mfupi mkatae, faida itakuja baada ya mda mrefu wa kutokata tamaa, otherwise nunua kigari namba c au d kwa milioni fanya uber, amekulaghai
 
Mwenyewe natafakali bidhaa moja 4000000 +
JIulize utamuuzia nani yani jiulize una uwezo wa kuwashawishi watu wangapi wajiunge Qnet kwa kununua bidhaa zako zenye kiasi hicho cha ela kumbuka hii ni Pyramid scheme unakula kutokana na walioko chini yako
 
JIulize utamuuzia nani yani jiulize una uwezo wa kuwashawishi watu wangapi wajiunge Qnet kwa kununua bidhaa zako zenye kiasi hicho cha ela kumbuka hii ni Pyramid scheme unakula kutokana na walioko chini yako
[emoji120] [emoji120] [emoji128]
 

Kuna Watu wengine huwa ' mnakera ' hadi mnataka tu Kulazimisha wengine wachume dhambi kwa majibu yao. Kama kuna Mtandao ambao Members wake wengi wameshaanzisha ' threads ' nyingi sana za Kuihusu hiyo Kampuni ya Q Net basi ni huu wa JamiiForums hivyo nilidhani Kwanza kabla ya Kuanzisha huu ' Uzi ' basi ungepitia huko uzisome na uridhike nazo kwakuwa huko Watu wamefunguka ' kinomanoma ' kuhusiana nao.
 
Asanty kwa msaada wako
 
unaweza ukatoboa mtu kupitia hiyo kampuni
 
Mtoa mada, wewe mwenyewe ndo fursa wenzio wapige ela[emoji41]
 

Mkuu amini kabisa utatobolewa badala ya kutoboa ukiingia q net
Good morning
Kama huna kazi ya kufanya nenda
 

Yeye kashafanikiwa?
 
Habarini,bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,kwa nini walimu wengi wamekamatwa na Qnet wakati hali zao za maisha zikiongezeka kwa tight

Majibu yenu yatasaidia kuwakomboa au kuwaumiza walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

GOOD MORNING SIR?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hata iwe Usiku salamu NI Good Morning, Iwe JIONI salamu yao NI hiyo hiyo Good Morning.

Ukiwaangalia vizuri NI kamA watu wamefyatuliwa akili!!!!

Wanayoeleza NI tofauti na uhalisia wenyewe!!! Mf mtu anakwambia anapokea milioni mbili kwa wiki Lakini ukimwangalia mavazi Yake, Siha ya ngozi Yake NI Kama yangu ninayeshindia pande la Muhogo !!!!!

Kwa kweli inahitaji nguvu za ziada kuamini wakisemacho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…