Na maneno yote haya yanakuwepo kwa sababu changamoto kubwa ya kujoin ni pesa....Semeni ivo sio mnaanza kuleta habari za utapeli na mengine mengi...Ndo mana nasema, wote humu mnaoiponda Qnet ni hamuifahamu laiti kama mngekuwa mnaijua mngepambana mkajoin..
Tutaenda mikoa yote mpaka nje ya Tanzania halafu nyinyi mbaki mnaponda mitandaoni wakati wenzenu wanatengeneza pesa..Na maneno yote haya yanakuwepo kwa sababu changamoto kubwa ya kujoin ni pesa....Semeni ivo sio mnaanza kuleta habari za utapeli na mengine mengi...
Nimesema aliyetapeliwa ajitokeze ajieleze ametapeliwa vipi??
Kwakweli nimecheka sana sana sana yani muda wote wanawaza uongo duuuhUkienda kwenye semina muda wowote salamu ni good morning partners , nilishangaaa, jioni "good morning partners"
Unapigwa pesa ya kutosha
Yani nyie mnanifurahisha hapa mpaka basi..Leo hii unasema anakuitia upuuzi ipo cku utamwelewa..aendeleen kubaki na mawazo mgando mitandaoni..Good morningndo maana kuna jamaa anafanya hapo kazi ananisumbua kila siku akiomba appointment na mimi..kumbe ndio upuuzi ka huu anataka kuniambia?
hata mimi nilishangaa mkuu... mnakaa hapo sijui ndio room ya mikutano mnasimama kama mzunguko flani alafu mnasalimiana kwa nguvu GOOOD MORNING PARTINERS.......dah nlishangaaUkienda kwenye semina muda wowote salamu ni good morning partners , nilishangaaa, jioni "good morning partners"
habari niko nje ya mada nilikuwa naomba kujua utaratibu wa kusoma huko malasya ada zake na kadhali. INBOX KAMA UKIWEZAQnet ni iko poa, ila watu wataiponda ilhali hawaijui. Ukitaka kufanikiwa jifunze kupitia waliofanikiwa, sio walioshindwa maisha na wanakaa mitandaoni wakiponda Kila kitu. Qnet is world wide organisation na Mimi binafsi nimeifahamia Malaysia nilipokuwa chuo Perak.
mkuu wewe una bidhaa gani za qnet unauza au unasubiria kumpeleka mtu upewe mgao wakoNguvu ya mtu haipotei hata cku moja, ni kweli Qnet watu wanatengeneza pesa ili mradi tu ufanyekazi mana hamna pesa za bure bure duniani, ukiona unapata pesa kirahisi ujue hapo kuna tatizo
Nimesikia kuwa hii ni business networking organization na watu wanapiga mkwanja wakutosha huko. Naomba kama kuna anayeifahamu hii atujuze kwa maslahi ya wengi.
Nimesikia kuwa hii ni business networking organization na watu wanapiga mkwanja wakutosha huko. Naomba kama kuna anayeifahamu hii atujuze kwa maslahi ya wengi.
Changanya na za kwako hivi mkuu katika hali ya kawaida saa ya milioni tano utamuuzia nani katika usawa huu?Wadau mwenye utaalamu wa biashara kwa njia ya internet kuna hii kampuni ya q net ambayo inajishunghulisha na biashara kwa njia mtandao. Kuna mdau wangu ananishawishi niingie akinieleza kuwa kunamafanikio ndan ya muda mfupi.
Nimaona kabla sijafanya chochote nipate msaada kwa wanajamii forum wenye uelewa nahili swala. Naomba mnisaidie
Mwenyewe natafakali bidhaa moja 4000000 +Changanya na za kwako hivi mkuu katika hali ya kawaida saa ya milioni tano utamuuzia nani katika usawa huu?
Utaweka ela kutoka itakuwa mtihani namfahamu dada flani rafiki yangu maskini kaacha kikazi chake klichokuwa kinampa kula mtaji wote kapeleka huko sasa hivi anajitahidi kuwa smart lakini kachoka kwa kumtazama.
Anataka kukugeuza fursa