fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,891
- 2,367
Wakuu nawasalim
Nna tatizo kidogo la macho kuna wakati nilienda hospital tofaut na upimaji wao wa macho ni ile ya kuveshwa lens na kuanza kusomeshwa herufi
Kiukweli haijanisaidia lolote pamoja na kupewa miwani ila tatizo bado lipo tena inakuwa ni bora bila ya miwani kuliko kutumia miwani.
Msaada nnaoomba hapa ni sehem au hospital nayoweza pima macho kwa computer gharama zipoje na ni sehem gani?
Mimi nipo dar ntashukur nikipewa maelezo