Anayedhani mgombea mwenza CCM ni msafi basi hajajua mambo haya!

Nafikiri dawa ya kudumu ya kuvifanya vyama vya siasa wawe na nidhamu ya kuchagua mgombea competent na anayekubalika na watanzania wengi ni kukubali kuwe na vyama shindani ambavyo idadi yake isiwe Utitiri, ambapo wengine kupitia utitiri huo hujiegesha kwa chama tawala ili tu wazile pesa zetu za kodi.
...Pamoja na kuwa na mgombea huru
 
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
We bwege uongozi wa nchi haupatikani kirahisi hivyo, nyie sukuma gang subirini 2030. Samia amepigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu na kupata 99.8%, taratibu zipi tena unazungumzia we kenge? Inaonekana kuna kundi mlitaka kuleta uhuru ila CCM chama kubwa mlishastukiwa sasa mtaishia kulalamika km misukule maana kujitokeza wazi hamuwezi. Mwangalieni mwenzenu polepole anajificha km nguchiro, jinga kabisa.
 
Just a stinking rubbish
 
Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde DRmoja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
DR.SAMIA NDIYO RAIS WETU,NCHIMBI NDIYE MGOMBEA MWENZA,PAZIA LIMEFUNGWA,UCHAGUZI UJE UPITE,TUANGALIE MENGINE.
 
Nchi hii hapa tulipofikia sasa, mtu yeyote anaweza kubandikwa kwenye nafasi hiyo kuu, na waTanzania wasifanye lolote.
Itakuwa ni bahati ya kipekee sana kama hatimae Samia ataamua kuachia kwa sababu zake mwenyewe. Vinginevyo tutabaki naye huyu hadi hapo atakapoamua kumpisha anayetaka kumpisha mwenyewe; awe ni Ridhiwani au Mchengerwa; yote ni hiari zao wenyewe walioshikilia mpini.
Hii ndio hali halisi sehemu kubwa ndani ya bara la Afrika. Sisi hatuna tofauti yoyote na hao wengine.
Ni kuomba tu, kudra za Mwenyezi Mungu yasitufike hapa.
Jaribu ww km ni rahisi hivyo
 
We bwege uongozi wa nchi haupatikani kirahisi hivyo, nyie sukuma gang subirini 2030. Samia amepigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu na kupata 99.8%, taratibu zipi tena unazungumzia we kenge? Inaonekana kuna kundi mlitaka kuleta uhuru ila CCM chama kubwa mlishastukiwa sasa mtaishia kulalamika km misukule maana kujitokeza wazi hamuwezi. Mwangalieni mwenzenu polepole anajificha km nguchiro, jinga kabisa.
Muheshimiwa magema, ni ruhusu niulize swali la nyongezaa.

Samia alipo ombwa atoke nje na lusinde Livingston yeye akajibu haweziii kutoka wajumbe wapige kuraa akiwepo wewe ulielewa elewajeee...

Majibuu tafadhalii?
 
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Free TAL
 
We bwege uongozi wa nchi haupatikani kirahisi hivyo, nyie sukuma gang subirini 2030. Samia amepigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu na kupata 99.8%, taratibu zipi tena unazungumzia we kenge? Inaonekana kuna kundi mlitaka kuleta uhuru ila CCM chama kubwa mlishastukiwa sasa mtaishia kulalamika km misukule maana kujitokeza wazi hamuwezi. Mwangalieni mwenzenu polepole anajificha km nguchiro, jinga kabisa.
Hahaha.....Duuh we Jamaa. Mbona unatuchana sana
 
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Hizi ID za zamani zamani hizi. Zina mambo.
 
Umeandika samadi ya ngombe, hamna pointi hata moja
Nadhani tatizo limeanzia kwako, umesoma kwa kutumia ubongo ulioundwa kwa samadi ya ng'ombe ndiyo maana unaona hakuna point ila samadi tupu!

Katawaze m*v* vizuri Kisha rudi usome tena! Ng'ombe wewe!
 
Ujinga wa mwandishi huyu ni nikudhania kuwa kuna mwanasiasa anayepigania wananchi wa kawaida hapa ulimwenguni.
Hata huyo kikalagosi alowekwa jela ya watu wa kunyongwa naye anapigania tumbo lake lizidi kunona.

Jambo la kipaumbele ni kuhakikisha nchi na ulimwengu unamoishi wewe kuna amani kama mahitajii yako unayapata na watu wenu wapo salama ila issues za kusema michakato haiko sawa, usafi wa wanasiasa, na vijimaneno vingi nakukumbusha hapa kwamba wanasiasa wote ukiangalia huwa hakuna aliyesalama bali wanazidiana ngazi za figisu katika kila jambo unalolifahamu na usilolifahamu katika ulimwemgu huu ulojaa giza na siri nzito.

Kwa hiyo, awe aliyepo, atakayekuja badae huko, watoto wa wanasiasa wanaoandaliwa juzi, jana, na kesho tena wengine hata jukwaani hawawezi kuongea japo wana umri wa watu wazima kasoro miezi michache hii inaonesha kuwa ni huzuni kubwa ipo kwa Taifa, wataozaliwa miaka 50 badae wote hao wanapigania matumbo yao na famili zao.

Ukiangalia kwa kina utagundua kuwa wote waliotangulia na waliopo wakati wa kugombea nafasi za kiuongozi huwa karibu na wananchi na makundi yao ya ushindi ila wakipata vyeo wanawasahau wote.
Chukua hatua.

Wewe dada au kijana fanya kazi upate kipato halali kwa vile hiyo buku 10 haitakusaidia kesho utapotupwa Ka kondomu na aliyekutuma kuandika haya uloyaandika.

Wasalamu.
 
Ujinga wa mwandishi huyu ni nikudhania kuwa kuna mwanasiasa anayepigania wananchi wa kawaida hapa ulimwenguni.
Hata huyo kikalagosi alowekwa jela ya watu wa kunyongwa naye anapigania tumbo lake lizidi kunona.

Jambo la kipaumbele ni kuhakikisha nchi na ulimwengu unamoishi wewe kuna amani kama mahitajii yako unayapata na watu wenu wapo salama ila issues za kusema michakato haiko sawa, usafi wa wanasiasa, na vijimaneno vingi nakukumbusha hapa kwamba wanasiasa wote ukiangalia huwa hakuna aliyesalama bali wanazidiana ngazi za figisu katika kila jambo unalolifahamu na usilolifahamu katika ulimwemgu huu ulojaa giza na siri nzito.

Kwa hiyo, awe aliyepo, atakayekuja badae huko, watoto wa wanasiasa wanaoandaliwa juzi, jana, na kesho tena wengine hata jukwaani hawawezi kuongea japo wana umri wa watu wazima kasoro miezi mchache ni huzuni kubwa, wataozaliwa miaka 50 badae wote hao wanapigania matumbo yao na famili zao.

Ukiangalia kwa kina utagundua kuwa wote waliotangulia na waliopo wakati wa kugombea nafasi za kiuongozi huwa karibu na wananchi na makundi yao ya ushindi ila wakipata vyeo wanawasahau wote. Chukua hatua.

Wewe dada au kijana fanya kazi upate kipato halali kwa vile hiyo buku 10 haitakusaidia kesho utapotupwa na aliyekutuma kuandika haya uloyaandika.

Wasalamu.
Mkuu ushajikatia tamaa na huenda imani yako ilikutuma kwamba Mwanasiasa anatakiw kukupa hela mfukoni mwako. You are very wrong.

Pole sana
 
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Sema mkuu nchi yetu ipone!!
 
Nchimbi ni hovyo kabisa ni Mlamatia fulsa tu hakuna uzalendo wowote pale.
 
Kwanza tu kule kudhani kwamba Nchimbi naye anaweza kuwa rais siku moja ni uzezeta wa kiwango cha sgr! Poor my country, hata Nchimbi naye? 😢😢
Rais au kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie kuongoza na hii ni kanuni ya viongozi wapumbavu wote ulimwengu ...hakujawai kutokea kiongozi mpumbavu aliye penda viongozi wenye akili siku zote kiongozi mpumbavu upenda wapumbavu wenzie ndivyo ilivyo kwa SAMOA NA KIKWETE
 
Back
Top Bottom