Anayedhani mgombea mwenza CCM ni msafi basi hajajua mambo haya!

Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Tz next President 2025 to 2030 is Tundu lissu ,Bwana anasema na hakuna binadamu wa kupangua hili ,atakae jaribu atakufa mdomo wazi ,asema Bwana
 
Kusema ukweli kwenye hili la lakuchaguliwa kuwa mgombea Mwezi January, Walimchezea chaka Mama Wawatu pasipo yeye mwenyewe kujua,Chezo hili ni la kitaalam sana,Msuka mipango ni Msoga mwenyewe na Nchimbi,Kwa Msaada mkubwa wa Bwana mkubwa SM.
Bahati nikwamba Samia ameshtukia mchezo kwa sasa.
 
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Hata hivyo,Nchimbi ni afadhali kwa mbali ukilinganisha na Mama
 
Kaka andika kwa kutulia, usichanganyikiwe. Mliopigwa tonetone mko wengi relax.
 
No reforms, no election
 
Mlipokuwa namsifia mama mama mama mama , mpaka kwenye mitungi ya gas chupa za maji mabango kila kona yuku aruka kila bajaji na dalladala ina bango Arusha mama tunakupenda

Mlidhani atakubali tonge alolichakata kwa miaka minne na nyie kumsifia sasa hivi hawezi kukubali kunyang'anywa tonge mdomoni

Sisi tunalipa kodi kwa ajili ya maendeleo ila sifa zinaenda kwa mama hata hela yetu ikitengenez matundu ya choo

Huu uhuni ulianza siku mingia acha wahuni wawanyoosheni

#KATAAWAHUNI
#HATUTIKIGUZANI
#NOREFORMSNOELECTION
 
Kuna mada humu JF inamzungumzia Mzee Butiku akihojiwa, na kusema Samia hakujuwa kilichokuwa kikiendelea kwenye mkutano huo!
Hili la "mgombea mwenza", nalo Mwenyekiti alikuwa hajui kitakachotokea kwenye mkutano aliPoanza mchakato wa kumPata Makamu wake?
Nchi hii sasa imekuwa ya kitaeli taeli sana, hata wazee wanaona ni bora kulemba lemba hivyo hivyo; badala ya kuusema ukweli ulivyo!
Butiku kamheshimisha samia, ukweli kila kitu alijua.
 
Kwenye mambo ya namna hii, mtu anaye jiondolea heshima mwenyewe kama anavyo fanya Samia siyo busara hata kidogo kuendelea kumkingia uvunjifu wa heshima kama anavyo jaribu kufanya mzee Butiku.

Haya ni mambo ya hatari kubwa kwa taifa hili anayofanya Samia, utamlindia heshima ya nini mtu kama huyo!
 
Back
Top Bottom