Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

Umri wako na wa mtuhumiwa vinanipa mashaka. Mtu wa 1982 kutumia chet cha mtu wa 1969 nabaki na?????? Nyingi.

Birthday: Jan 24, 1969 (Age: 48)

Last Activity: 7 minutes ago
Joined: Nov 11, 2016
Messages: 25
Likes Received: 16
Trophy Points: 5
Liked: 176
 
Makonda kaza hapo hapo bado kidogo wakimbie nchi. Umewashika babaya mno kila mtu Amalia hajui afanye nini. Kumbe nchi ilikuwa imeshikwa hivi na wauza unga. Ndiyo mana pinda aliwahi kusema ukiwagusa nchi itayumba. Makonda big up nchi nzima imepagawa kwani wote wanahamia upinzani sasa nakushauri uwafate hukohuko ulisema hakuna jiwe litakalosalia huu ya jiwe.

Usitishwe na kelele hizi za akina mbowe na henge lake soon watapotea.

wamekamatika pabaya sana
 
Propaganda at work, atoe vyeti vyake tuvione na si kuna watu walianza nae shule anaogopa nini ? Mmh shule ya msingi Daudi ghafla Paul, wonders shall never end

mkuu sio kuwa aliyeuza cheti aje kuthibitisha?
 
Juzi tcu wamethibitisha waulize wao ndo maana jpm anasema majipu bado yapo tcu wajipime bora usiongeee ukiongea jpm unakabidhiwa lini majengo chuo hili linakuhusu watakaoingia huko wasiwe vilaza serekali ya viwanda haihitaji vilaza
 
Hata simwelew hyu anaejfanya anamtetea makonda kwanza hajajkita kweny hoja binafsi tukamjua vzur yy kama yy, anachokfanya n kumsafisa makonda, et "nilisoma masomo ya fizikia, ar you siliaz ww n msomi wa chuo kikuu usiejua hata kujtetea au ndo LUMUMBA 1???
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
Pierre mmmh...aisee mulemule chigali....daah...jipu juu ya mtoki
 
Huu ni ubuyu. I wish I kudu be makonda original.
Hoja potofu kabisa...tafuta MTU Mwngne aje akusemee...huyu kakosea...kajipange

kwa hili la vyeti magu angekuwa makini angemtumbua hata kwa njia ya cm kama alivyompigia kwenye mkutano na wananchi..
 
We mwehu kweli unafikili makonda ni mtoto kama kila wanalosema ajitokeze kujibizana na wauza unga si ataonekana mwehu. Ukimwa ni jibu kubwa kwa mwenye busara

Mkuu:
Ni sawa usemavyo lakini hizi tuhuma ni nzito, kwani zinagusa na kuchafua hadhi ya mtu. Iliwahi kutokea hapa jamvini kwa baadhi ya viongozi wakubwa wakiwemo waheshimiwa mawaziri mwisho walijitokeza hapa na kuweka mambo hadharani, hatimae tuhuma hizo zilikwisha.

Ni vyema Mh. Makonda angejitokeza aweke mambo hadharani. Viongozi huwa hawafichi historia zao ili kujenga uaminifu katika jamii wanayo iongoza.

Haya ni mambo ya kawaida, hakuna kitu kipya wala cha ajabu hapa hususan kwenye jamii ya kistaarabu.
 
Gujalati..........siyo vizuri kuzima moto kwa PETROL...kaungama kwa viongozi wa dini na akaombewa sasa weye una REWIND tena.
 
..povu la nini dada?!! Twende tu taratibu utaelewaAitishe press aweke hadharan...hii scandal ya wizi sio ndogo kama mnavyodhani...mtu kaiba vyeti vya mtu usubiri NECTA..?!! Ukiiba jela miaka 7..
Avilete wapi? Hivi ninyi vilaza wa JF nani anawapa mamlaka ya kuitisha vyeti binafsi? Kati ya wapuuzi nyie na NECTA nani anayekagua vyeti. Viko vijitu vya ajabu kabisa humu utavisikia vinataka waziri aje JF ajibu vijihoja vyao vya kipuuzi. Mods tunaomba muweke subscription fee ili humu wabaki watu weledi tu, vilaza wahamie Facebook
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom