Anaye unda magari ruvuma......

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
Tbc one leo kwenye taarifa ya habari
wamemuonesha kijana aliyeweza kuunda magari yake mwenyewe
na anawauzia watu huko mbinga,ruvuma
ameshatengeneza magari manne so far,na bei yake ni millioni nne
mpaka tano.....

sasa utasikia wanaojifanya viongozi wetu wakisema eti

watanzania wajitokeze kwenye ujasiriamali ili wasaidiwe
huku huyo kijana wakijifanya hawajamsikia

hii nchi bana
 
habari njema sana hii, JKT SUMA wangekuwa wajanja wangemchukua wakamwendeleza angewafaa sana ktk shughuli zao za ujasiriamali na kujitangaza.
 
Kama ni msaada apewe yeye mwenyewe aendeleze ujuzi wake. Hao wengine wakimchukua watamfanya kuwa mjakazi wao na watamkatisha tamaa na kuua kipaji chake.
 
nashauri wenye uwezo wanunue hayo magari hata kama quality bado,ili kumuunga mkono..
 
Serikali imuone kijana huyu na kumuendeleza
Ni moja kati ya HAZINA na RASILIMALI ambazo mungu ametupatia
 
....walivyo mafala watamkamata sasa hivi,utasikia gari zake hazina kadi..........this kantiri bana...huyo kijana toka mwaka juzi aliripotiwa lakini wapo kimya tu.....inaudhi
 
Jamani jamani, mtakuja kuua watu wasio na hatia bure kwa kukataa kufikiri na kuwa construtive, ubunifu mzuri lakini technologia aiendani na wakati huu wala ujao.

Mass production ndio jibu na uwekezaji mkubwa ndio unaotakiwa serikali sidhani kama inamsaada hapa manake wao wenyewe hawana ubunifu wa kibiashara.

Kama vile wenzetu wanabuni baiskeli sio tunaendelea na ngolongojo, kama babu wa loliondo mkaiingiza serikali mkenge mnataka tena muitumbikize ktk crude technology. Wakina henry ford walikuwa mainjinia nyie mnataka darasa la saba huku mkijua gari ni complicated system. Bora kijana aende shule kwanza inawezekana akabadili hata mawazo.
 
habari njema sana hii, JKT SUMA wangekuwa wajanja wangemchukua wakamwendeleza angewafaa sana ktk shughuli zao za ujasiriamali na kujitangaza.
<br />
<br />
hata wewe kama mjanja uwezo unaruhusu mchukue umwendeleze..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom