Anaye ifahamu proXPN Msaada

Anaye ifahamu proXPN Msaada

Matata25

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
130
Reaction score
130
JAMANI WENYE UJUZI NA proXPN WANISAIDIE NAITAJI KUNUNUA KIFURUSHI CHAO BUT SINA UHAKIKA KAMA NIKISHANUNUA INTERNET CONNECTION YAO ITAKUA NA SPEED KAMA WANAVYOSEMA GUYS KAMA KUNA MTU AMESHAWAHI KUITUMIA NAOMBA MSAADA PROX.jpeg
 
kwa technology ya sasa kuongeza speed kwa kutumia vpn au proxy probability yake ni 0.00001 achana nayo watakula hela zako hutapata chochote.
 
JAMANI WENYE UJUZI NA proXPN WANISAIDIE NAITAJI KUNUNUA KIFURUSHI CHAO BUT SINA UHAKIKA KAMA NIKISHANUNUA INTERNET CONNECTION YAO ITAKUA NA SPEED KAMA WANAVYOSEMA GUYS KAMA KUNA MTU AMESHAWAHI KUITUMIA NAOMBA MSAADAView attachment 173253
  • Kwa free user speed wamelimit kwa 300kbps
  • Ukiwa na Premium Account kunakuwa hakuna limit ya speed
  • Ila kuna advantage moja kwamba unapewa FREE TRIAL YA SIKU SABA na kama hujalidhika na speed yao basi waweza cancel malipo kabla ya siku saba kuisha
Note: Premium Accounts come with a 7-day risk-free trial. Trial is only valid for new users of proXPN.
  • Hivyo Create account, Tumia hiyo premium kwa siku saba, ila kumbuka ku_cancel kabla ya siku saba kwisha kama utakuwa hujalizika.
​Pia Angalia hii VPN
 
Ndugu unanishauli kutumia application gani
 
Niliijaribu but haikua na mafanikio bcoz ukitumia free trial wanaipunguza kasi then nimesikia kwamba unaweza ukatumia internet atakama moderm yako haina kifurushi ila kama umenunua kifurushi is this true?
 
vp kwa sisi wenye tablets, natumia galaxy tab 2 10.1
 
Back
Top Bottom