Anaweza kusoma Master's kwa GPA 3.1?

Angekuwa na gpa kama ya 3.8 ya degree ingemfaa sana kusoma masters maana hata nafasi ya kuoata kazi ya u lecturer ingekuwepo, ila kwa hio GPA yake ya 3.1 hata akifaulu sana masters hata iwe ya uingereza hawezi kuwa lecturer.

Hapo asome labda kwajili ya kutafuta hizi kazi nyingine
 
Kwa Tanzania ukikosa hiyo 3.5 au 3.8 kutegemea na chuo ndio basi tena hata kama utapata PhD huwi lecturer. Kule USA ukitusua ukapata PhD nzuri wewe unapita na kuwa Professor, juzi tu niliona video ya mdada wa Nigeria alipiga 2.6 lakini akapata chuo USA na sasa ni Professor kwenye chuo kikuu USA.
Io alipata scholarship
 
Hapo Masters' anasoma bila wasiwasi mkuu, hata akitaka kuendelea hapo hapo UD. Kwa hiyo GPA hawezi tu kuja kufundisha chuo
Hivi hata kama ulipata first degree kwa kupitia diploma, ukiwa na GPA ya 3.8 undergrad na masters unaweza kuwa lecturer?
 
Elimu ya bongo inanishangaza.mshikaji katoka na gpa ya 2.4 hapo udsm,kibongo bongo kakosa admission ya masters, kaomba vyuo vya uingereza na China kupiga masters kapata admission kirahisi tu.sasa hivi yuko University of Warwick uingereza anafanya masters yake.
 
Vyuo vya nje haviamini katika vyeti.
 
Back
Top Bottom