Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,726
- 18,238
Kama kasoma kata anaenda unless tu kujaeOoh sawa sawa
Kama kasoma kata anaenda unless tu kujaeOoh sawa sawa
Nimeandika nikiwa na uhakika, tena ni mwaka jana kama sikosei, mtoto wa ndugu yangu kutoka shule ya kata alipangiwa Ilboru na alikuwa na one ya 12 huku physics akiwa na C.Hawezi kupata, Serikali hawaangalii kigezo cha shule ya kata wala private. Maana kila mtu anaweza kusoma private hata wale waliofeli darasa la saba ila Serikalini ni wale waliofaulu vzuri tu. Asante
Alikuwa na CAA?Nimeandika nikiwa na uhakika, tena ni mwaka jana kama sikosei, mtoto wa ndugu yangu kutoka shule ya kata alipangiwa Ilboru na alikuwa na one ya 12 huku physics akiwa na C.
Ahsante sana mkuu kwa kushare hii ngoja tusubiri tuoneKwa wavulana mara nyingi huwa na ufaulu mkubwa wengi sana hvo kwa shule za vipaji lazima at least wawe NA muunganiko wa (AAB) katika masomo yao Yaani angalau awe na point 4. Ila kwa Girls at least point 5 yaani (AAC). Angalia sample YA picha ikionesha vigezo vya Mwaka jana Nimetuma ilitolewa na TAMISEMI. View attachment 2113016
Ooh sawa inawezekana pia maana kwa Mwaka jana PHYSICS ilikuwa na utata sana mwanafunzi kuwa na grade A na B. Naamini vigezo pia SIO FLEXIBLE vinabadilika kutokana na uhitaji.Nimeandika nikiwa na uhakika, tena ni mwaka jana kama sikosei, mtoto wa ndugu yangu kutoka shule ya kata alipangiwa Ilboru na alikuwa na one ya 12 huku physics akiwa na C.
Sawa MkuuAhsante sana mkuu kwa kushare hii ngoja tusubiri tuone
Hata mm nahisi hivo. Hata mwaka huu nimefuatilia shule nyingi Physics A chache mnooo hata B sio nyingiOoh sawa inawezekana pia maana kwa Mwaka jana PHYSICS ilikuwa na utata sana mwanafunzi kuwa na grade A na B. Naamini vigezo pia SIO FLEXIBLE vinabadilika kutokana na uhitaji.
Ni wazo zuri Sana hili mkuuAchana na Advance mpleke DIT hapo chap
Ngoja tusubiriYaani hapati kabisa mtafutie shule nzuri tu ya advance
Kuna 1.7 kama utitili hata shule za kata siku hizi wanagonga one za 7
Sawa KakaNgoja tusubiri
Inamaanisha kama una dcc unaenda pcm auKwa wavulana mara nyingi huwa na ufaulu mkubwa wengi sana hvo kwa shule za vipaji lazima at least wawe NA muunganiko wa (AAB) katika masomo yao Yaani angalau awe na point 4. Ila kwa Girls at least point 5 yaani (AAC). Angalia sample YA picha ikionesha vigezo vya Mwaka jana Nimetuma ilitolewa na TAMISEMI. View attachment 2113016
C ya physics itamuangusha Ila asikate tamaa bahati tu atapata shule ya vipajiMdogo wangu amepata Div.I ya 7. Kwenye masomo anayotaka kusoma Advance ana Physics C, Chemistry A na Maths A (PCM). nimeangalia ufaulu wa Physics kwa shule nyingi hata za vipaji A za physics ni chache mno. Je, anaweza kupata shule za vipaji maalum?
Asiende DIT atakariri madesa,aende advance akawe mkomavu na kujua vitu vingi zaidiAchana na Advance mpleke DIT hapo chap
Anapata shule Kama Tabora boys,Tosamaganga ,pugu ,mzumbeHawezi kupangwa SHULE ZA VIPAJI kwa vigezo vya Mwaka jana ila miaka inabadilika sijajua kwa vigezo vya Mwaka huu. Kjana ka pambana sana BIG UP[emoji120]. Ila PHYSICS Mwaka jana ilikaza sana, anyway tu subiri selection mwezi wa 5.
Acha kijicho we mzee na hayo mandevu yakoYaani hapati kabisa mtafutie shule nzuri tu ya advance
Kuna 1.7 kama utitili hata shule za kata siku hizi wanagonga one za 7
Mtu anapata C bado unang'ang'ania eti KipajiHawezi kupata, angalau angekuwa na BAA angepata.
Sijakuelewa.SHULE ZA VIPAJI MAALUMU ni shule za wanafunzi waliofaulu na kupata alama za juu zaidi katika masomo yao huska. Mfano shule za Ilboru, Mzumbe, Kibaha kwa wavulana na Msalato, Kilakala, Tabora Girls kwa wasichana. Nadhani umenielewa.