Anaweza kupata selection kwenye shule ya vipaji maalum?

mugesela

Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
49
Reaction score
34
Mdogo wangu amepata Div.I ya 7. Kwenye masomo anayotaka kusoma Advance ana Physics C, Chemistry A na Maths A (PCM). nimeangalia ufaulu wa Physics kwa shule nyingi hata za vipaji A za physics ni chache mno. Je, anaweza kupata shule za vipaji maalum?
 
Mara nyingi minimum ni A mbili na B moja kwa PCM, pia inategemea na competition ya mwaka husika, probability ya kuchaguliwa ni 80-%
 
Mdogo wangu amepata Div.I ya 7. Kwenye masomo anayotaka kusoma Advance ana Physics C, Chemistry A na Maths A (PCM). nimeangalia ufaulu wa Physics kwa shule nyingi hata za vipaji A za physics ni chache mno. Je, anaweza kupata shule za vipaji maalum?
Kama ametokea shule ya kata na kupata ufaulu huo, moja kwa moja anapata, option nyingine anaweza kupangiwa kombi tofauti na hiyo, ila akifika shuleni, bado anaweza akaomba kuhamia hiyo PCM, kwa shule kuhama kombi ni rahisi,inategemea na utaratibu na malengo ya shule husika.
 
Unapo sema shule ya vipaji maalum una maanisna nini? Hivyo vipaji ni uimbaji, uchezaji ngoma au mpira?
 
Kama ametokea shule ya kata na kupata ufaulu huo, moja kwa moja anapata, option nyingine anaweza kupangiwa kombi tofauti na hiyo, ila akifika shuleni, bado anaweza akaomba kuhamia hiyo PCM, kwa shule kuhama kombi ni rahisi,inategemea na utaratibu na malengo ya shule husika.
Hawezi kupata, Serikali hawaangalii kigezo cha shule ya kata wala private. Maana kila mtu anaweza kusoma private hata wale waliofeli darasa la saba ila Serikalini ni wale waliofaulu vzuri tu. Asante
 
Mdogo wangu amepata Div.I ya 7. Kwenye masomo anayotaka kusoma Advance ana Physics C, Chemistry A na Maths A (PCM). nimeangalia ufaulu wa Physics kwa shule nyingi hata za vipaji A za physics ni chache mno. Je, anaweza kupata shule za vipaji maalum?
Hawezi kupangwa SHULE ZA VIPAJI kwa vigezo vya Mwaka jana ila miaka inabadilika sijajua kwa vigezo vya Mwaka huu. Kjana ka pambana sana BIG UP[emoji120]. Ila PHYSICS Mwaka jana ilikaza sana, anyway tu subiri selection mwezi wa 5.
 
Mdogo wangu amepata Div.I ya 7. Kwenye masomo anayotaka kusoma Advance ana Physics C, Chemistry A na Maths A (PCM). nimeangalia ufaulu wa Physics kwa shule nyingi hata za vipaji A za physics ni chache mno. Je, anaweza kupata shule za vipaji maalum?
Achana na Advance mpleke DIT hapo chap
 
Unapo sema shule za vipaji unaongelea vipaji gani? Ngoma? Kuimba au mpira?
SHULE ZA VIPAJI MAALUMU ni shule za wanafunzi waliofaulu na kupata alama za juu zaidi katika masomo yao huska. Mfano shule za Ilboru, Mzumbe, Kibaha kwa wavulana na Msalato, Kilakala, Tabora Girls kwa wasichana. Nadhani umenielewa.
 
Kwa wavulana mara nyingi huwa na ufaulu mkubwa wengi sana hvo kwa shule za vipaji lazima at least wawe NA muunganiko wa (AAB) katika masomo yao Yaani angalau awe na point 4. Ila kwa Girls at least point 5 yaani (AAC). Angalia sample YA picha ikionesha vigezo vya Mwaka jana Nimetuma ilitolewa na TAMISEMI.
20220208_194048.jpg
 
Back
Top Bottom