Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 277
Mpo?
Naomba samahani kwa kukosa nidhamu kwa hili.
Hili ni sana sana kwa ke au hata me ambao pengine wanapitia ninayopitia.
Mke wangu amekuwa akilalamika kwamba ninapommwagia mbegu zangu ndani ya papuchi zinamuwasha endapo nitataka kuendelea!
Hivyo inabidi nizimwage nje kama nitaendelea ndio ya mwisho niimwage ndani.
Hivi ni kweli sperms zinawasha ama ni shere tu?