Anawahi kivuko cha kwenda Kigamboni

Anawahi kivuko cha kwenda Kigamboni

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
IMG_3385.jpg


Kamera ya Globu ya Jamii imemnasa mdau huyu akikimbilia Kivuko cha MV. Magogoni (hakipo pichani) kilipokuwa kinaanza kuondoka kuelekea Kigamboni.Pamoja na kuwepo kwa tangazo kubwa kabisa la Tahadhari la kutokimbilia Kivuko pale pembeni,lakini mdau huyu aliendelea na mbio zake mpaka kwenye kivuko.
IMG_3386.jpg
 
Huenda anataka atekeleze agizo la kuogelea lililotolewa na mh..
 
Back
Top Bottom