Anaulazimisha Uzuri lkn waaapi!

Anaulazimisha Uzuri lkn waaapi!

F
Kuna watu wanajua kulazimisha kuwa wazuri lkn bado haikubali, kila siku style mpya, ...

michelle.jpg
Fool
 
Mama wa watu hata hakujui na inawezekana asikijue mpaka mwisho wa maisha yake.

Wewe tu unatafunwa na chuki wakati mwenzako anakula maisha ya pensheni ya kirais US, na anaingiza mamilioni ya dola kwa kuuza kitabu chake.

Uzuri hata Dr. Remmy Ongala aliyeshinda mashindano ya ubaya kuna mwanamama alimuona mzuri mpaka akampa mambo akamzalia watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta Mada chz tu

Ova

Yan ni kwamba hatokuja hata kumwona sura ake live..#nyambafu Sana huyu mtoa post
 
Mama wa watu hata hakujui na inawezekana asikijue mpaka mwisho wa maisha yake.

Wewe tu unatafunwa na chuki wakati mwenzako anakula maisha ya pensheni ya kirais US, na anaingiza mamilioni ya dola kwa kuuza kitabu chake.

Uzuri hata Dr. Remmy Ongala aliyeshinda mashindano ya ubaya kuna mwanamama alimuona mzuri mpaka akampa mambo akamzalia watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu Wa ajabu sana hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko mbali na hakujui anakukera, je majirani zako itakuwaje? Acha tabia za kishirikina.💩
 
Back
Top Bottom