Anaulazimisha Uzuri lkn waaapi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kuna watu wanajua kulazimisha kuwa wazuri lkn bado haikubali, kila siku style mpya, ...

michelle.jpg
 
Mama wa watu hata hakujui na inawezekana asikijue mpaka mwisho wa maisha yake.

Wewe tu unatafunwa na chuki wakati mwenzako anakula maisha ya pensheni ya kirais US, na anaingiza mamilioni ya dola kwa kuuza kitabu chake.

Uzuri hata Dr. Remmy Ongala aliyeshinda mashindano ya ubaya kuna mwanamama alimuona mzuri mpaka akampa mambo akamzalia watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwa na fwedha kipengere cha urembo kinakufa automatikali.
yaani wewe ni mzuri wa muda wote hadi ufirisike.
 
Sijui uzuri wa mtu unaona kwa namna gani au kwa kigezo gani, maana huyu umepost ni mzuri na mrembo kweli kweli
Kuna watu wanajua kulazimisha kuwa wazuri lkn bado haikubali, kila siku style mpya, ...

michelle.jpg
 
Mama wa watu hata hakujui na inawezekana asikijue mpaka mwisho wa maisha yake.

Wewe tu unatafunwa na chuki wakati mwenzako anakula maisha ya pensheni ya kirais US, na anaingiza mamilioni ya dola kwa kuuza kitabu chake.

Uzuri hata Dr. Remmy Ongala aliyeshinda mashindano ya ubaya kuna mwanamama alimuona mzuri mpaka akampa mambo akamzalia watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Dr. Remmy alioa Mzungu akazaa machotara handsome akina Kalimangonga
 
Back
Top Bottom