Anatumia mjani wa wapi huyu..?

Anatumia mjani wa wapi huyu..?

Mgonga Like

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
1,256
Reaction score
1,664
1475510452558.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
anavuta bangi ,gundi na wakati huo huo amekunywa variamu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
anavuta bangi ,gundi na wakati huo huo amekunywa variamu

Valium,umenikumbusha mbali sana. Wakati huo tuna soma tulikua tuna meza vidonge vya valium ili tulewe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamaa anauza spare za Mbavu, Paja, Mkia
 
anaenda na wakati haraka haraka , hangoji kurekebisha bango, maisha yamebadilika biashara ya spea imemuendea kombo - jaribu bucha,
 
Atakuwa anachanya bange na mavi maaana sio kawaida..
 
Back
Top Bottom