Revealed: Chilambo anatumia hiki

Revealed: Chilambo anatumia hiki

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,809
Reaction score
140,807
nathaelchilambo_51e20b072b9d4730a30b653b6dc69834.jpg


Kuna tetesi kwamba kuna ya Kihuni yenye husda na mafanikio ya wengine, inahangaika huku na kule kuchunguza kama Nata anatumia madawa ya kuongeza nguvu.

Nata anamtegemea Mungu na juhudi, akiwalipa mashabiki heshima wanayompa.

Kwani wachezaji wangapi wanafanya kama Nata. Mtazame Achraf Hakimi, Roberto Carlos na Cafu. Mtazame pia Dani Alves. Sasa kwa nini ionekani kwa Chilambo ni maajabu.

Mngetumia huo muda kuchunguza analipwa shilingi ngapi ili mtoe tamko aongezewe mshahara na posho.
 
Inasemekana dogo ana nguvu sana tena zile za asili kabisa, kuna jamaa yangu aliniambia tena jana tu. Chilambo hata alipokuwa Azam alikuwa na energy ya ķutosha lakini ndio vile kutukuza Wageni na kuwabeza Wazawa. Inasemekana pia Kapombe ndio alipendekeza Dogo asajiliwe Simba
 
Back
Top Bottom