Anatory Amani alivyopiga Tsh 206,333,333/= za NSSF, kupitia Morites Staff SACCOS

Uadilifu ni tatizo sana kwetu..watu wanatanguliza matumbo yao tu! Unajua tatizo liko wapi..hata hizo taasisi ambazo zimepewa dhamana ya kuzuia na kupambana na haya mambo bado na zenyewe zinanunuliwa..hakuna aliyesalama.
 
Makubwa yazidi kufumuka, Milioni 48 nyingine aliwakata watumishi ziende Nssf. Kama malipo Nazo akatia mfukoni aise wahaya nawaogopa watumishi walio fukuzwa baada ya kupokea with waanza kufunguka wadai Mzee aliwazulumu haki zao nyingi
 
Back
Top Bottom