Anatokaje black list bank?

Kwa hiyo huyo ndugu yako hana plan B zozote za kujikwamua zaidi ya kuchukua mikopo tu ndio ameona suluhisho la maisha yake?Hajui kwamba akichukua mkopo mwingine ndio atajikaanga zaidi
Elimu uchumi changamoto, anaamini suluhisho lipo kwenye kukopa.
 
Akaombe ku top uko uko kwny bank x ambao ndio wame mripoti CRB vinginevyo km anazo awalipe then wafanye clearance japo CRB hata release on the spot ni mpk mwezi mmoja uishe ki utaratibu
 
Mm niliwahi kunyimwa mkopo wa m 3 benki ya posta kisa songesha ya 1700/= ilibidi nilipe kwanza
 
Mm niliwahi kunyimwa mkopo wa m 3 benki ya posta kisa songesha ya 1700/= ilibidi nilipe kwanza
Yeah siku hizi nasikia wameunganisha taasisi zote za kukopesha CRB. Ukiwa mkopaji msumbufu basi unapigwa pini.
 
Pia anaweza kuingia kwenye web CRB Kuna mahali utajaza taarifa flani flani then baada ya hapo watamtumia details zote. Na watamjulisha ni muda atakuwa cleared kutoka kwenye blacklisted. Mimi nilyajua hayo kwa sababu kuna dogo nilimsajiria line kwa ajili ya chuo akakopa Mpawa akachelewa kulipa, japo wakati mimi benki wanagoma kunikopesha tayari alikuwa amelipa kama mwaka mmoja nyuma. Nikatakiwa kuandika barua ya kujieleza ndo nikapewa loan
 
Ushauri mzuri, ntamfikishia.
 
H
Huyo rafiki yako ni WEWE MWENYEWE
 
Huyo jamaa kwa kifupi siyo muaminifu. kukopa ni liability. Bank wanataka wateja waaminifu. Mwache awe mfano kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…