AnATESEKA MSAADA

Kilahunja

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
1,502
341
wakuu, nina mdogo wangu a 9 year old boy, anatoka ngozi mikonon huu mwaka sasa yani mikono yake inafanana na mtu aliefuria sabun ya unga afu ikamchubua, pia hata texture ya mikono yake ts nt as normal soft as the children ov his age, amejaribu dawa za kusafisha damu bt stil in vain, NAOMBEN MSAADA WENU, MDOGO WANGU ARUD KTK HAL YA KAWAIDA.
 
Jaribu kumpaka mafuta ya zaituni Olive oil mikononi kila siku Asubuhi na jioni. Na ikiwezekana nenda Hospitali kampime damu isijekuwa ana maradhi ya ngozi? Fuatilia hayo maelezo yangu kisha uje utupe Feedback.
 
Nafikiria ni seborrheic dermatitis.jaribu kufuatilia hata kwa google huo ugonjwa then urud na jibu.meawhile ngoja nipate shule kwaza ya hilo tatizo nitarudi.pole sana
 
Mpake mafuta mazito yta vaseline asubuhi na jioni,,huenda maji yanamuathiri.
 
ajitahidi sana kutumia mafuta ya nazi/alizeti hasa wakati anapotaka kulala anapaka sehemu za viganja
 
walize watu wa kigoma yale mafuta ya ndani ya ile mbegu ya chikichi sio mawese ndio dawa ya huo ugonya we tafuta umpake kwakweli nimesahau jina lake ,mwone muha yyte atakusaidia yale ya ndani yakwenye ile corne.ndio dawa
 
walize watu wa kigoma yale mafuta ya ndani ya ile mbegu ya chikichi sio mawese ndio dawa ya huo ugonya we tafuta umpake kwakweli nimesahau jina lake ,mwone muha yyte atakusaidia yale ya ndani yakwenye ile corne.ndio dawa

haha mimi mwenyewe muha, ile mbegu inaitwa mise, ways ndo sabun ano2mia imetokana na mise.
 
mkuu kilahunja tafuta hayo mafuta umpake atapona mafuta ya mise EXACTLY MIMI NDO NAKUAMBIA DAWA HIYO ,
 
mpake mafuta ya ubuyu ni mazuri mno. Kama upo Dar yanapatikana Kariakoo lita elfu sitini. (tzs 60,000/=)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom