Anatakwa kimahusiano na mama ya rafiki wake

Anatakwa kimahusiano na mama ya rafiki wake

Kwani kuna tatizo?

Mwache dogo aendeshe FIAT hilo bhana!

Ila akizoea, vibajaji havitakuwa na nafasi tena kwake!

Kwetu kule bukoba, madogo wa hivi huwa wanaolewa kabisaa kwa kuchanganyiwa shuntama!

Sasa ni wewe kuwa mshauri bora..
 
kwahiyo unataka akufuate wewe? aya mwambie dogo akamatie fursa twenzetu...........
 
Back
Top Bottom