Anatakwa kimahusiano na mama ya rafiki wake

Anatakwa kimahusiano na mama ya rafiki wake

Bro bana!
Sasa ndo nini hii?
Kunishauri koote kule kumbe nawewe unataka?

Haya sasa kumbe mwenyewe yumo humu! Sasa msigombane mkirudi mtaani! Ila huyo dada akiwastukia kwamba mmeleta hiyo mada hapa mtalishwa juice ya sumu, shauri zenu. Au ukute naye yumo humu jf.
 
Nenda kwa huyo maza mwambie upo tayari na unajitolea kwa niaba ya huyo mama.
Au ukute mama ameshapigwa miti zamani, sema dogo anahalalisha ujue
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
 
mwache apige mzigo tu maisha mafupi haya dhambi duniani adhabu kwa muumba....
 
Aseeee... mi nimeshauri nimechoka.... na kalikizo kanaisha...narudi zangu pori.... mpaka aende chuo atamzalusha tena..... tungi noma sana... jana katinga...kafunguka.... leo yupo sober ...anakataaa....
 
Dogo keshafanya yake kitambooo, alipost thread hapa kwamba kafumaniwa na mchizi anamtindua mama mtu
 
Kuna mshkaji mmoja nae haongei na Bi.mkubwa wake na kumfukuza kwenye nyumba yake ya Urithi hawezi maana b.mkubwa anapigana mikasi na jamaa mtaani ambaye ni rika lake afu mtaa mmoja sasa. Na Bi.mkubwa ndio kafa kaoza kwa huyo Serengeti boy wake.

Vitu vingine kwakweli visikie kwa mwenzako tuu.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa mwenzio, Mkubwa wenzio.
Zingatio:Mwambie Dogo asome na azingatie maudhui ya siginecha yangu.
 
Kizazi hiki taaabu sana jamani yaani bado kijana hajui cha kufanya mwishowe kuna watakaouliza kuwa nikona hatari nikae au nikimbie. Hivi kweli hili ni swala linalomsumbua kweli rafikiyo , utu umeenda wapi na je heshima nayo imezamia wapi. Haya mwambie huyo ni mzazi wake asithubutu kuuona utupu wake tena imenenwa ikimbie zinaa, nami naongeza wala usiiwekee vikao vya kuijadili.
 
Miaka 23 sio mdogo!Dr Salim alikuwa balozi wetu Misri akiwa na miaka 18 tu na kazi akaiweza itakuwa hili libaba lizima lenye miaka 23!!

Muacheni aamue mwenyewe
 
Mwambie dogo arekebishe mzigo yaishe kwani siyo vizuri kukalia jambo moja kwa muda mrefu kwani maisha yana vitu vingi vya kufanya.
Dah nimecheka sana..
 
Acha wivu wa kike wewe...bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi... nimeshakusoma wewe mwenyewe huyo maza unammezea mate...
 
Avae tu condom maana najua ameshatindua tayari hadi unaandika thread hii
 
Tumeshakushitukia.....mzigo unatindua wewe.,..kijana acha kupenda kitonga(mteremko).....utakuja kufa bure....
 
Ningeshampanda kitambo.... namfahamu vizuri... ni wale nyege zikipanda zitashushwa tu... atatafuta tu wakumpanda.... kwa udi na uvumba.... sasa nimerudi likizo...naona siku hizi sio kiviiile mda wote yupo tu na dogo mda wote yupo kule.... ndio nahofu.... na keshaombwa sana dogo...... ila dogo nae kabalikiwa MALIASILI....... na amesoma seminary.... kama kaanza kwa huyu ....sijui atatokaje...... lakini dogo anakataaa hajanyoosha goti....

We unadhani atakubali mapema hivyo..!
Inawezekana kashajisunda kiaina, sema duh msala ukibumbuluka kwa swahiba ake aiseh ni mtouch mtouch kama sio mshike mshike.!
 
Back
Top Bottom