Anataka turudiane

Anataka turudiane

Suma drago

Member
Joined
Jul 15, 2019
Posts
11
Reaction score
14
Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikuwa na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha.

Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama angenifanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana fulani msanii hapa kitaa, ilikuwa siri mpaka nikastukia mchongo. Nilichofanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane.

Mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa halafu cha zaidi ana mimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane.
 
Kwl leo mapinduzi day msanii ashafanya yake we lea mimba hyo kuitoa ni dhambi.

NB;fata vile moyo wako unataka Mapenzi hayapangwi na wanajamii utarudi unalia tena usipokuwa makini.
 
Waislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.

Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).

Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.

Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.

Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.

Akazuia Tanzania kujiunga OIC.

Qmamae zake.
 
Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane

"Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo"

Uchaguzi Ni wako! Ataendelea kukushangaza
 
Waislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.

Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).

Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.

Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.

Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.

Akazuia Tanzania kujiunga OIC.

Qmamae zake.
Duh..
 
Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane
Msanii kashaanza kumletea mambo ya kisanii sasa demu amekuona wewe utakua damp0 zuri sana kwa kutupia mashida zake alizookota huko kwa msanii..

Nakushauri USIRUDIANE NAE. wanawake wako wengi sana tafuta mchuchu mzuri kuzidi yeye tulia nae. Acha kabisa ukaribu nae huyo mama kijacho cha msanii..
 
Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane
Amekosa ela ya kumhonga msanii wake
 
Msanii alikuwa hapangiwi pa kuwagia😄😄😄
 
We unafarijika sana kuona amekwama huko alipoenda, Hupaswi kumsamehe huyo ni demu wenu ukimtaka chapa tembea na huyo msanii akimtaka achape tu, Yani kwakifupi juchapieni tu lidem lenu hulo

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Waislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.

Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).

Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.

Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.

Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.

Akazuia Tanzania kujiunga OIC.

Qmamae zake.
daaaaaaaaaa
 
Mwanaume ulishaamua kuacha achaaa ,madem wenyewe wapo wengii tu na ukigusa tu imoo km ww c domo zege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom