mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Mujarabu sana hii commentKiukweli sikushauri kurudiana nae.
Mujarabu sana hii commentKiukweli sikushauri kurudiana nae.
Hivi Wanaume wenzangu tutakomaa lini kiakili?.Sasa wewe mwenyewe umesema kuwa Mpenzi wako alikuwa anadate na jamaa,tena ana hadi mimba yake,Sasa unataka ushauri wa Nini?. Maamuzi yapo mikononi mwako kwasababu haumuolei mtu,huyo anakuwa mkeo kwa hiyo kusuka ama kunyoa ni juu yako.Ikiwa upo tayari kuonekana bwege na moyo wako upo tayari kuoa mtu asiye mwaminifu sawa muoe,kila kitu kipo mikononi mwako.Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane
Amka usingizini wewe,acha kuweweseka.Ujinga wa aina hiyo Waislamu mtauacha lini??.Hivi kipindi cha Nyerere hakuna Waislamu waliokwenda nje kusoma?,Je unaweza kuweka hapa Orodha ya majina ya Waislamu ambao ilikuwa waende nje ya nchi kusoma lkn Nyerere akawazuia?.Hivi Wazee wasomi wa Kiislamu km vile akina Prof.Safari,Prof.Shivji,Prof.Musa Assad,Prof.Ibrahimu Lipumba,Prof.Ibrahimu Musa,Abdulrahman Kinana,na wengineo waliosoma enzi za Nyerere waliwezaje km alikuwa anawazuia?.Waislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.
Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).
Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.
Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.
Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.
Akazuia Tanzania kujiunga OIC.
Qmamae zake.
Acha udini. Hii nchi ni ya watanzania. Si waislam wala wakristo au imani yoyote ile.Waislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.
Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).
Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.
Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.
Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.
Akazuia Tanzania kujiunga OIC.
Qmamae zake.
Mwanaume mzima unakosa msimamo?Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane
Kwahiyo hayo aliyofanya hamuhesabu kama ni udini!Acha udini. Hii nchi ni ya watanzania. Si waislam wala wakristo au imani yoyote ile.
Acha uboya ww huyo kaisha achwa na mshikaji fanya yakoWanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane
Kila kiongozi aliepita nchi hii ana matatizo yake. Mpaka hata huyu alieko sasa ana matatizo yake.Kwahiyo hayo aliyofanya hamuhesabu kama ni udini!
Unaulizwa mkojo unaleta mavi!Kila kiongozi aliepita nchi hii ana matatizo yake. Mpaka hata huyu alieko sasa ana matatizo yake.
Unataka malaika? Nenda Mbinguni
In the end kila kiongozi alifanya aliwezalo. For public interest. Sio kila mtu atafurahia.. wapo watakao mind.. kama ww. So sishangai
Umesoma ulichokiuliza? Kula uo mkojo pathetic fooolishUnaulizwa mkojo unaleta mavi!
Waislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.
Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).
Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.
Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.
Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.
Akazuia Tanzania kujiunga OIC.
Qmamae zake.

Waislam ni makapuku tangu kitambo na wamekalia kusoma maandishi yasiyoelewekaWaislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.