Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,402
- 4,705
Mrudie mpasue kwa lulenge na wewe muache kimchepukoWanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane

