Anataka turudiane

Anataka turudiane

Wewe ni mwehu sana, swala la kusoma mpaka sasa linaonekana, watoto wa wakristo wanapokwenda shule nzuri nyinyi mnawapeleka madrasa, mnawafundisha na kupigana karate, then mnakuja kulalamika Nini sasa? Jinga kabisa wewe
Umeona eenhh?!!!, Waislamu wanashindwa Kutumia vizuri vichwa vyao hivyo wamekuwa watumwa wa fikra.Wao wamechagua madrasa basi wakomae na madrasa zao, Sisi Wakristo tunakomaa na vyote,Elimu dunia na Elimu ya Dini pia.
 
Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikuwa na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha.

Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama angenifanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana fulani msanii hapa kitaa, ilikuwa siri mpaka nikastukia mchongo. Nilichofanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane.

Mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa halafu cha zaidi ana mimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane.
Mshtaki polisi anataka kufanya abortion
 
Wewe ni mwehu sana, swala la kusoma mpaka sasa linaonekana, watoto wa wakristo wanapokwenda shule nzuri nyinyi mnawapeleka madrasa, mnawafundisha na kupigana karate, then mnakuja kulalamika Nini sasa? Jinga kabisa wewe
Sasa sijui alitaka Mwl J K Nyerere awajengee shule za dini yake.? Tumuulize Nyerere alitoa pesa za kujenga shule za seminary..? Afu hata leo waulize waalimu wa shule watakwambia kuna watoto wa shule wengi tu unakuta katikati ya madaftari yao wanaandika hapo hapo mambo.ya madrasa. Na wazaz wengi hawawahimizi wasome wakirudi majumban wana wahimiza waende madrasa. Kingine chuki waliyonayo juu ya wakristo ni sumu nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom