Anataka tufunge ndoa usiku baharini (deep sea)

Kumbe Hadithi za ccm bado zipo hadi sikuizi
 
Huyo ni Jini/Setani na hiyo siku ya harusi ndo itakuwa mwisho wako kuishi duniani.

Kama husikii haya maneno shauri yako wee endelea kupenda watu wasiokuwa na historia. Hakuna hata ndugu wa baba au mama? Ila hii inaweza kuwa ni fake story
 
hapana sio jini, nimejaribu kumpiga picha kwenye simu na ameonekana. jini ukipiga picha haonekani kwenye simu.
 
Watu kama hawa wanaandaliwa kuja kuuwa status za watu watu anajiita mtoto wa mshana afu anaandika vitu havieleweki.Siku mshana akiandika thread zake aonekane nae ni wale wale
 
Back
Top Bottom