Anataka nyoka

We ngoja nikatafute fimbo za bagara. .mmmmmmhhhhhh ntakavyo kucharaza. Mmhh. .
hakuna cha nyoka, mjusi wala sisimizi vyote hivyo vya mkeo. .
Tena mwambie una mke na asikusumbue. .mmhhh jamani wewe usimguse. ..
 
mh! haya bana
 
Marriage is contract bana...sticky to it!!
imagine na mkeo akikutana na mazingira hayo afanyeje?
usije jutia tamaa hiyo na kitu yenyewe unaijua fika ndugu yangu
siku hizi kugundulika ni rahisi sana
 
Halafu na mkeo akifanywa unavyotaka kufanya usikasirike, iwe ngoma draw!
 
ananitega sana huyu binti

Hii sentensi inanipa picha kuwa WEWE UNA UCHU

hivi mitego aliyonayo imezidi ya MKEO?

Wewe una tamaa na hahisi kuna kitu umemwona nacho ambacho ukiangalia mkeo hana na hili ni tatizo la KISAIKOLOJIA

KUMBUKA RAFIKI NI BORA KULIKO MWANA SESERE.

Mheshimu mkeo ndio rafiki yako na sehemu ya ubavu wako achana na fikra za kishetani zitakuangamiza mapema.
 
:help::help::help:
Kawa king'ang'anizi sana hadi jinsi ya kumkimbia nashindwa na nyumbani anapajua. Ila mamaaa yupo UG.
Unaonaje na sisi tukimchakachua wife huku UG KWA MAANA TU YA KUKUMBUSHIA ZAMANI HALAFU TUKAPITILIZA HADI KWENYE MTANDAO WA ROBO SHILINGIMAANA NA YEYE ANASUMBUA SANA HUKU?
 
Wadau kuna msichana ambaye alikuwa wangu kipenzi tukiwa secondary na sasa imepita miaka 3 toka tumeet kwa last time. Juzi Juz tu nimekutana nae na kubadilishana namba na usiku wa Jana kanipigia usiku anasema kamiss sana Nyoka na anataka tena.

Je nimpe bt mimi nimeshavuta jiko.
icon12.png
icon12.png
icon12.png
icon12.png

Kama umeoa hili swala si la kuomba ushauri ........heshimu ndoa yako.
 
Marriage is contract bana...sticky to it!!
imagine na mkeo akikutana na mazingira hayo afanyeje?
usije jutia tamaa hiyo na kitu yenyewe unaijua fika ndugu yangu
siku hizi kugundulika ni rahisi sana
Acha ubabaishaji, usione sifa kuwa na mademu wengi wakati tayari wewe una mkeo tena naamini ni mzuri kuliko huyo nungayembe! Achana na kimeo hicho wewe.
 
Wadau kuna msichana ambaye alikuwa wangu kipenzi tukiwa secondary na sasa imepita miaka 3 toka tumeet kwa last time. Juzi Juz tu nimekutana nae na kubadilishana namba na usiku wa Jana kanipigia usiku anasema kamiss sana Nyoka na anataka tena.

Je nimpe bt mimi nimeshavuta jiko.
icon12.png
icon12.png
icon12.png
icon12.png

nyie vijana wa sku hizi hamna adabu kabisa embu ni pm namba yake nimkanye huyu binti
 
Mwacheni alambe sukari halafu Chumvi ataijua ni opposite yake...

mmmmhhhhh sina la kusema "wataka kuniua bure" sina la kusema mimi kaka.

"yule si wangu na mi si wako chuki ya nini kati ya ngu mimi na wewe"

"nasema sina makosa wataka kuniuua bure"..............hahhaah lol

huo wimbo umekuja tu kichwani nikaamua kuuandika hapa lol...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom