Anataka nyoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anataka nyoka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gbollin, Jan 15, 2011.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wadau kuna msichana ambaye alikuwa wangu kipenzi tukiwa secondary na sasa imepita miaka 3 toka tumeet kwa last time. Juzi Juz tu nimekutana nae na kubadilishana namba na usiku wa Jana kanipigia usiku anasema kamiss sana Nyoka na anataka tena.

  Je nimpe bt mimi nimeshavuta jiko.
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  unataka kuambiwa nini sasa,mpaka unaoa hujakua tu.
   
 3. kapug

  kapug Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  we tulia na mkeo utazoa ugonjwa tu
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hukumwambia kwamba umeshaoa...hiyo ndiyo shida....aidha kama ulimwambia ulipitia namna ya kumkejeli mkeo, thats what i quess..

  Kama ungesimama confidently na kumwambia ninaishi na sweetheart mke wangu mpendwa and so so, unadhani bado angekuwa na hamu na wewe?

  Lakini pia kabla ya hiyo juzi kukwambia hivyo ni kwamba ulikuwa na mawasiliano nae na naamini ulijaribu hata kuomba...!
  Mkuu, kama unampenda mkeo, na kama hutaki kudhalilisha familia yako weka wazi kuwa huwezi kwa sasa.

  Shida yako ni kwamba unajisikia fahari kuambiwa hivyo na huyo dada,kitu ambacho chaweza kukupa hasara kubwa, ukajuta maisha yote!
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mpe mjusi nyoka hapana.
  Muheshimu mkeo jaman
   
 6. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mbona waniponda tena baada ya kunipa ushauri?
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hapana sikupondi ila nashangaa inakuwaje mtu mpaka anaoa hajui kumsaliti mwenza wake ni jambo baya kuliko kitu chochote
   
 8. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  :amen::amen::amen::amen:
   
 9. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  :help::help::help:
  Kawa king'ang'anizi sana hadi jinsi ya kumkimbia nashindwa na nyumbani anapajua. Ila mamaaa yupo UG.
   
 10. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha uzinzi wewe heshimu ndoa yako!
   
 11. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jibu unalo halafu hutaki kuambia kwenye mtihani. Unachungulia/chabo kwa wengine. Ngoja upwe kasa ndio utajua matokeo yakitoka.

  Kimbia zinaaa
   
 12. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unaonekana una matatizo ya kiintelijensia
   
 13. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ananitega sana huyu binti
   
 14. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sensual pleasure passes and vanishes!
   
 15. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  :blabla::blabla::blabla::blabla:
  U made ma day
   
 16. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Ni lazima ulimwonyesha hapo nyumbani. Ila jitahidi kwani ukianza halafu ukampeleka na nyumbani ujue maza house atasikia tu hata kama yuko nje.

  Tafadhali jaribu kuzuia hiyo simu (ulizia kwa ma IT specialists) na akifika nyumbani kwako usimkaribishe ndani hata kidogo, simama mlangoni umpotezee.

  TANZANIA BILA YA UKIMWI INAWEZEKANA.
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahah,shosti huyo anajitia utoto,
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Alafu analeta sababu za kutokwepa zinaa.
   
 19. I

  Ijuganyondo Member

  #19
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kasome bible na ufuate maelekezo yake,sawa?
   
 20. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  kama we ni mzinzi au mwanachama wa ile chama
  kubwa ya infe. we mpe tu huyo nyoka ila kama sio
  mtolee nje tu
   
Loading...