ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Watu wakishikwa na swaumu...wanajikuta wanatunga stori automatic ili muda wa kufuturu usogee....
loveissweet
Chungwa na chenza kipi kina virutubisho vingi na kipi nikitam?
nakuona unajaribu kujitetea, kwann ulizaa na mtu na mkaachana, hapa sababu ni kiburi na ulimbukeni wa kumpenda mtu humjui tabia au ulipenda pesa, sasa ushateleza unaanza kubwabwata na kulilia vijana walio tulia. ujuaji wako sasa mfukoni, kama unaweza kaa kwako uza mkaa zaatena lea mwenyewe.
Duuuh! Jamani mimi ata sielewi what to do...!
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenena mkuu kama ulikuwepo kwenyemawazo yangu
At first nilidhani ukiyoyasena unayajua that's why nilipoteza muda kukujibu ili nikupe ufahamu wa tukio mwenye mada ni kijana sijawahi kuzaa na mwanamke yeyote sababu kubwa ni kuogopa migogoro km hii bila sababu ya msingi! But sijui why unaishi kwa hisia mimi mwanaume c mdada mwenye mtoto.
Chukua mfano kama ungekua na mtoto nje halafu ukataka muishi nae akatae kuolewa na wewe kwa sababu ya mtoto, ingekuwa sawa?
umenielewa vibaya nilikua najibu post ya Loveisset samahan mkuu
Kama ni kweli ngoja, nikishafuturu nitakuja kukushauri jambo la msingi sana....sasa hivi network ya oblangata imepotea kabisa kwa sababu makali ya swaumu.....Kuna muda watu mnachukulia kila kinachosemwa hapa jamvini ni stori ila sasa mimi niwakumbushe mengi km c yote ni ukweli amini usiamini.
are you a single mother?
Dada umenishambulia as if niko totally responsible to care this kid...! If you have go through this thread very well, you should have noted something about the real father of kid. It doesn't mean that am regretting to stay with that kid, but the big issues inakuja baba wa huyu mtoto yupo tena anamaisha mazuri zaidi labda na ya kwangu...! But kwa kiburi tu hataki kutake responsibility yake kumtunza mwanae.
Binafsi sisupport huyu mtoto aende huko maana bado mdogo nilimshauri aende ustawi wa jamii aombe jamaa amsaidie kumtunza mtoto ata kwa kulipa ada ya shule ndiyo wanashindwana huko huyu anataka mwanae aende boarding au amchukue mama hataki.
Sasa huyu mpenzi wangu analeta sympathy ya kwamba mimi nimtunze mtoto jamaa akale goodtime huko. Aoneshi kupokea ushauri wangu anadai jamaa akimhudumia mtoto badae atamchukua sasa mimi najiuliza hivi huyu mwanamke anataka tumdhurumu mtoto wake baba wa mtoto hapo ndipo simwelewi.
Binafsi sina kinyongo na dogo shida natafuta kujibu hili swali...! Why should i take responsibilities of one whose has every reason to stand for his responsibilities.
loveissweet
Chungwa na chenza kipi kina virutubisho vingi na kipi nikitam?
nakuona unajaribu kujitetea, kwann ulizaa na mtu na mkaachana, hapa sababu ni kiburi na ulimbukeni wa kumpenda mtu humjui tabia au ulipenda pesa, sasa ushateleza unaanza kubwabwata na kulilia vijana walio tulia. ujuaji wako sasa mfukoni, kama unaweza kaa kwako uza mkaa zaatena lea mwenyewe.
Huyo alieanza kwa kudanganya ogopa kuna mengi juu yake hauyajui, bora hata ungejua kwanini alienda kudai posa na tayari wana mtoto.
Uongo wake mwanzoni jiulize na unaonekana hauko tayari kulea mtoto wa mwingine ukijua kuwa ana kazi nzuri na anataka kumlea.
At first nilidhani ukiyoyasena unayajua that's why nilipoteza muda kukujibu ili nikupe ufahamu wa tukio mwenye mada ni kijana sijawahi kuzaa na mwanamke yeyote sababu kubwa ni kuogopa migogoro km hii bila sababu ya msingi! But sijui why unaishi kwa hisia mimi mwanaume c mdada mwenye mtoto.
Ujasiri wa kuamua kumwoa ndiyo mgumu.