Anataka nauli ya ndege

Umefanya vizuri sana mwamba.
 
Ukiongeza maarifa kidogo,utapita kwenye nyayo zangu....bravo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hukumtoa bikra, basi weka historia hata kuwa wa kwanza kumpandisha ndege! Acha ubahili.
 
Cha kukushauri, stop kumpa hizo huduma kwa mda! Hata miezi miwili, usimpe hela za vicoba Wala nahitaji madogo mengine ili ajiendeshe mwenyewe kwa mda some ulivyo ngumu bila support yako. Na usimamie msimamo wako kweli kweli. Atanyooka tu, unajua amekuona ww Ni dhaifu kwake kiasi kwamba atakufanya chochote kile apendacho, yaan anaweza kukuforce umfanyie kitu kwa lazima na ukajikuta huna jinsi ya kufanya zaidi ya kumtumia hizo pesa ilibtu umridhishe yeye na ugomvi uishe, au Kila kitu anakutupia lawama wewe Kama vile ndo mkosaji hivyo vyote Ni njia za kukukamata usifurukute hivyo kumnyoosha acha kumuhudumia kwa mda kwanza baadae akiona Mambo magumu atakusikiliza tu na atanyooka. Na hapo ndo umkomalie afuate matakwa yako.
NB: Nimetumia experience tu, iliwahi kumtokea broo wangu akafanya hivyo kwa almost miezi 4 mfululizo hakumuhudumia kwa chochote, na alimwambia kua kana huwezi kua na Mimi niache tu, nitapata mwingine Mungu akipenda lkn siwezi kua na hela Kila siku za kukuhudumia na sijakuoa. Mwisho wa siku mwanamke akaamua kumfuata dada yetu kwa ajili ya kufanya suluhisho na alibarika akawa normal tu. Asikusumbue broo panga uchumi wako vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo ulimkosea toka mwanzo, inaonekana ulimwonyesha una pesa mwanzoni, hivyo anajua nauli unayo ya kumpandisha ndege, ulimtongoza kipredeshee, kama unampenda mtumie tu hiyo tiketi ya ndege, na mama ako amemuonea wapi huko mkoani au ?
 
Nadhani watu kama wewe mnakurupuka tu kukomenti bila kusoma uzi.
Jamaa amesema huo uwezo hana

God save us
 
Nimesoma uzi wako nimekumbuka dauti ya Mchungaji Daniel Mgogo unasema hivi: "Wife to be...mpe vitu vidogo vidogo" ili siku akiondoka upate nafasi ya kujifariji
 
U chumba wa miezi mitano umeanza kuchangia vicoba?
Mbona wakina Mwajuma Ndala Ndefu wapo wengi tu.
Vijana wa kiume wanahitaji guidance na orientation kubwa sana kudeal na mabinti. Wanazidiwa akili by far, mwisho hujikuta kutumika sana kwa kujiingiza kwenye madeni makubwa huku wapiga mark time kimaendeleo! Binti/mchumba mpaka anakushinikiza kitu ujue alishakuona hamnazo kichwani na hakuhitaji kwa chochote zaidi ya financial back-up. Hata ikitokea ameolewa na mtu wa aina hiyo basi huyo mume ajue yeye ni last resort na siyo choice ya maisha ya binti husika. Michepuko yake kama kawa!
 
Dogo mchumba anabembelezwa, acha ubabe. Ndege ni usafiri wa kawaida, Mume wangu enzi hizo tukiwa wa wachumba, monthly nilikuwa natua Mtwara na PW 720 tunakula bata weekend then narudi zangu chuo. Uwe mzalendo, kweli safari yote na Super Najimunisa from Mwanza mpaka Dar masaa 18?. Wakati Airbus ni saa 1 tena kupitia Knjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuiga wewe binti

Life is not a movie
 
Toa nauli ya ndege shemeji. Kama huna katafuta level zako. Waachie wenye hela waendelee kula mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…