Anataka nauli ya ndege

Yaani hilo ni bomu na ukija kuliweka ndani utajuta,
Vijana mnapaswa kuwa makini sana na hawa wanawake wanaopenda vitu vilivyo nje ya uwezo wao ndiyo wanaofanya ndoa zinakuwa ngumu kweli.
 
Umeniuzunisha sana pesa zote unazo toa umekuwa baba ake, izo huduma ni za kumpa mkeo unakwama wapi, afu eti nyoko nataka nipande ndege walahi kuna watu mna hela
 
Nimeshamfaham huyo dada pole sana baharia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilikuwa nasoma story yako huku nasikitika, lakini ulipomalizia kwa kutaja "MAMA YAKE NA NDEGE" nimecheka peke yangu. Kwa hiyo mkuu ndege inazaa!!! Ila wewe kiboko kuliko Mamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ni rahisi sana...

Si anataka kupanda ndege, muulize lini anataka kuja...

Ukipata jibu mfanyie booking online... Mtumie ticket ai print apande hiyo ndege...




Cc: mahondaw
 
Mimi nimemuelewa tofauti na nyie labda. Nilivyoelewa anaonhelea vikundi vya kinamama wanaoweka hela pamoja na kupeana mmoja mmoja wakiita kumtoa mmoja. Sasa wa kwake anapopokea mgao wake "nothing on the table".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize kwani yeye ameshawahi kupanda ndege kwa kulipiwa na wazazi wake mara ngapi?
 
Yani upo kwenye relationship na slay queen. Sasa akitaka iphone 11 pro si utakuja hapa unalia na makamasi juu[emoji23]

Sent From Galaxy S9
 
Anasafiri kwa ndege...

Wewe unafanya booking kabisa... unamtumia ticket yake...



Cc: mahondaw
Ndo asilolitaka hilo... we mtu uchumba tu kaanza madai ya aina hiyo.. huyo akiingia kwenye ndoa halafu umwambie sina hela ya wigi si atakupeleka ukasutwe huyu..!!
 
Mkuu acha ubahili,. We tuma hiyo hela halafu akipanda ndege atakaa siti moja na Toto la kishua na hawez goma kutoa namba na asipojiangalia siku hyo hyo tukio la kimasihara litatekelezwa

Mkuu kila mwanamke unayemuona yupo kwenye level fulan bas jua anapandishwa na watu wengi so ww hapo ni Kama daraja la kumfikisha kwenye hadhi ya wanaume wanaopanda ndege tu na sio vinginevyo kwa msemo wa uswahilin tunasema wewe ni mbuzi wa kafara lazma upewe majan ili usife Ila swala la kuchinjwa halikwepeki
 
Standard yake ikoje, nyumbani kwao wapo njema? Asije akawa amezoea kupanda ndege halafu wewe huwezi kumpandisha.

Kama nyumbani kwao wapo vizuri, mweleweshe kwa upole. Kama analazimisha mambo na kwao hawapo njema, mpige chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukupaswa kugombana nae.

Ungemwambia tu ndege zina corona virus hivyo akipanda usalama wake utakuwa hatarini. Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…