Anataka mwanae

Anataka mwanae

Wondering down here...kitu km hiki ht sikileti jf namaliza mwenyewe..kwanza jibu 1 hurudii ht kunitafuta....
nimekwambia nina mimba na unajua sana ila tu kujifanya hutaki ujana mwingiii,
...basi nitazaa nitalea,ila tusijuane,..eti baadae unakuja kunambia huo ujinga, hakuna rangi utaacha ona!...kiruuuuuu

Unayaweza au ubingwa wa ku type tu!!!
 
kinachoniuma hakujua ni damu yeke akamkataa nimkabidhi mtoto kwa complete stranger kwel mtoto ana miaka 5 leo nimlete mtu mpya ni mwambie huyu ndeye babaako namuhurumia mwanangu he used to know mume wangu ndiye babaake

sina utaalamu sana katika hilo ila naamini kitu kimoja., baba hawi baba just kwa kuwa alikupa mimba je malezi kwa mtoto yalikuwaje? alishamkataaa je leo atasemaje kuwa ni mtoto wake? je asingezaliwa je angedai mbegu zake au? wanaumea wengine ni washenzi sana na kuwafanya wanawake kama viraka na hata swala la mtoto kumkubali bado ni issue mana ye hamtambui huyo kama baba yake. affection ya mzazi inaanzia tangu mtoto akiwa tumboni na kama mtoto alikataliwa tangu tumboni anadhani kwamba yale mapenzi ya mtoto kwa baba yatakuwepo?
ongea na familia yako ila sishauri swala la kumpa yeye mtoto mana hata wewe ni wako na una haki naye ukizingatia alishakataa. he has to pay for his actions
 
Kumkataa au kutomkataa si hoja. Hoja ni kwamba ni baba yake - biological father. Kwani DNA itasema nini? Mpe mtoto wake kama kuna madai ya matunzo hilo suala lingine.
vaa viatu vya huyo dada hafu uone kama ni rahisi kumpa tu mtoto kwa sababu tu ni biological father...kama mtu akujua thamani ya huyo mtoto tangia tumboni mwa mama yake kwa nini leo....?......alidhani mtoto ni makalio kila mtu anayo ee...akazae na mkewe ......
 
Mwanamme anaekataa mimba na kutokumjali mwanamke katika hali ngumu kama aliokuacha nayo basi jua hana huruma wala imani kwako na kwa kiumbe kijacho. Sasa hapo anapojidai kudai mtt sasa jee una uhakika kama anamdai kwa vile wake, au anataka kumdhuru? Kwanza mtt wa miaka mitano aliekuwa keshakulia ktk mazingira mengine leo anaanzaje kwenda kuishi na watu ambao totally ni strangers kwake? Itamuathiri kisaikolojia. Apo hamna kutoa mtt bi dada komaa na mwanao ivoivo
 
nafikiri ungemshirikisha mme wako, mkakubaliana wewe,mme wako na huyo jamaa kukutana naye kwa ahadi kuwa atamuona mwanaye,...akija hapo mtakuwa na mtu mwingine(polisi /polisi feki) mtamuambia kuwa mmeshamfungulia kesi polisi na akiendelea kukupigia simu au kukufuata ofisini utakamatwa na kuwekwa ndani,....mwambieni kuwa kisheria hana haki na huyo mtoto ..akavutie bangi zake mbele(haya ya mwisho unaweza usimwambie)
 
Dada yng ulifanya kosa sana kufanya kma mtoto ni wa current mume, baba wa mtoto anabaki kuwa baba tu no matter what.
Kihisia ntakushauri usimpe mtoto, lkn kisheria kuna umri wa mtoto kukaa na mama tu na akikua sheria inampa nafasi ya kuchagua, mbali na kuchagua kwa mtoto baba yake ana haki juu ya mwanawe.
Hembu kaa na mumeo muongee na muone mnaliweka vp kwa wazazi wenu kabla huyo jamaa hajaharibu kote
 
Khaaaa mi ningemwambia hana mtoto na sijawahi kubeba mimba yake
 
Mwanamme anaekataa mimba na kutokumjali mwanamke katika hali ngumu kama aliokuacha nayo basi jua hana huruma wala imani kwako na kwa kiumbe kijacho. Sasa hapo anapojidai kudai mtt sasa jee una uhakika kama anamdai kwa vile wake, au anataka kumdhuru? Kwanza mtt wa miaka mitano aliekuwa keshakulia ktk mazingira mengine leo anaanzaje kwenda kuishi na watu ambao totally ni strangers kwake? Itamuathiri kisaikolojia. Apo hamna kutoa mtt bi dada komaa na mwanao ivoivo

Mi nashangaaa hao wanaomtetea huyo mwanaume,hivi huko alikooa angekuwa kapata mtt angemkumbuka huyo?
Acha ujinga ww
...blalifuuuuuu
 
vaa viatu vya huyo dada hafu uone kama ni rahisi kumpa tu mtoto kwa sababu tu ni biological father...kama mtu akujua thamani ya huyo mtoto tangia tumboni mwa mama yake kwa nini leo....?......alidhani mtoto ni makalio kila mtu anayo ee...akazae na mkewe ......

Ha haaaa sister umenichekesha,japo hili jambo sio la kucheka!
 
sina utaalamu sana katika hilo ila naamini kitu kimoja., baba hawi baba just kwa kuwa alikupa mimba je malezi kwa mtoto yalikuwaje? alishamkataaa je leo atasemaje kuwa ni mtoto wake? je asingezaliwa je angedai mbegu zake au? wanaumea wengine ni washenzi sana na kuwafanya wanawake kama viraka na hata swala la mtoto kumkubali bado ni issue mana ye hamtambui huyo kama baba yake. affection ya mzazi inaanzia tangu mtoto akiwa tumboni na kama mtoto alikataliwa tangu tumboni anadhani kwamba yale mapenzi ya mtoto kwa baba yatakuwepo?
ongea na familia yako ila sishauri swala la kumpa yeye mtoto mana hata wewe ni wako na una haki naye ukizingatia alishakataa. he has to pay for his actions

Kweli kabisa mkuu, mi ningemwambia nilitoa mimba
 
ww mdada ni mpole sanaeeh!!
Hivi mtu anakataaje mimba halafu leo analeta ujinga wake hapo!!?,
..natamani ingenikuta mi!!angejuta kunifaham!
..usikubali, usimpe huyo mtt, simamia hayo maamuzi yako
..na hyo mtt bado mdogo utamu affect kisaikolojia kumwambia eti hyo sio baba ake,subiri awe mtu mzima ndo umweleze hali halisi!!

Umeona eeeh!!!
Hainiingii akilini kabisa.

Unakataa mimba kwa mbwembwe zote alafu uje udai mtoto?
Ifike mahali jamani mambo mengine yasiwe ya kuchekea kabisa.
 
Mpe mtoto wake kama kuna madai ya matunzo hilo suala lingine.
Ndg, huwezi kutoa suluhisho rahisi namna hiyo kwa huyo mwend,awaz imu aliekataa mimba. Imagine psychological torture aliyoipata dada baada ya kukataliwa akiwa mjamzito. Cha msingi, nginaeli akate mawasiliano na huyo ju-ha na aendelee na ndoa yake. Period. Tusiendekeze ujinga
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeh!!!
Hainiingii akilini kabisa.

Unakataa mimba kwa mbwembwe zote alafu uje udai mtoto?
Ifike mahali jamani mambo mengine yasiwe ya kuchekea kabisa.
Point kubwa sana. Asipokataliwa mtoto atajifunzaje? Hilo liwe fundisho
 
kinachoniuma hakujua ni damu yeke akamkataa nimkabidhi mtoto kwa complete stranger kwel mtoto ana miaka 5 leo nimlete mtu mpya ni mwambie huyu ndeye babaako namuhurumia mwanangu he used to know mume wangu ndiye babaake

Hilo janaume halina adabu kabisa (samahani kama yuko humu ndani).

Alimkataa hapo mwanzo akakuachia wewe na huyo mwenzako kulea mimba na mtoto, leo iweje aje juu?

Sheria itakuwa kwako mama kaza uzi na wala usimpe tamaa kabisa ya kumpa huyo mtoto.
 
Yani we dada ukithubutu tu kumuendekeza huyo mwanaume sababu ya woga au tu umekumbuka mapenzi ya zamani,utajuta!tena utalinywa.usidhani huyo kaka ana mapenzi na ww hata akubembeleze vipi.huyo kilichomleta kwako ni matatizo na hakuna compromise hapo.fanya yote ila usikubali kumtoa mtoto au hata ukathubutu mkajadili.hakuna mjadala juu ya kitu ambacho si chake na alishakataa.yani mwambie mimba haikuwa yake kwanza.ila before that..
Naomba umuweke huyo mumeo front person ktk kila jambo.infact hata huyo baba mtoto kuja ofisini ilipaswa ajue.kumbuka mumeo alifiwa na mkewe,ni machungu tosha.hata ingekuwa ww usingetaka mumeo awe na meetings za siri na ex wake.kwa kifupi mumeo ana kifua sana kukubebea mwanao na kukutunzia siri,na the fact that hata ndugu zake hawajui,huyo mume ni sent from heaven aise.u don't need ppo wa JF to tell u that!yani hvi nnavosema,ukae na mumeo umweleze yote.tena yote!sababu akijua haya yote kabla hata wewe mkewe hujamtamkia,itakuwa a very big betrayal na hata kama ulikuwa na nia njema ataona ulitaka msaliti tu.mume wa dizain hyo ni zawadi kwa Mungu tena once in a while umtolee Mungu sadaka ya shukrani.take my word.
Tatu,kama wewe na mumeo ni wasiri,ningeshauri muendeleze tu siri asijue mtu.si ndugu wala wazazi,much as wazazi always wanawatakia mema wanao ila siri zingine ni za wanandoa tu!nasema hvi,sababu nimeona sana hizi situations.coz mtawaambia ndugu,siku mtoto atakuwa mkubwa.nakuapia,hata kabla nyinyi wazazi hamjaamua kukaa na mwanenu kumpa ukweli (coz its obvious hamwezi mwambia ukweli huyo mtoto saiv,mtasubiri akue),ndugu watakuwa wamesharopoka kumwambia.utashangaa tu siku mtoto anakuuliza,mama babangu ni nani.au atakuwa ashaanza mtafuta babake kisiri.trust me,hiyo kitu inaweza isikuume ila itaja muuma sana mumeo.tena sana!in many cases,ndugu ndo wavunja amani wakubwa sana.na in this case lazma watateta mpaka siri haitakuwa siri tena na pia,ukumbuke kuwa ndugu zako wakijua wataipokea ila ndugu wa mumeo kinaweza wauma na wakadevelop chuki kwa mwanao kitu ambacho kitakuuma pia au huko mbele mumeo akaja fariki labda,ndugu wagome kumtambua mwanao wakidai kuwa si damu yao.trust me it'll kill u coz utawaza mumeo hakuwahi mbagua.ila hiyo ndo habari ya ndugu.sikushauri.ikiwezekana ibaki siri btn u two
Yani hili jambo linataka wisdom kubwa coz its gross kuliko unavoweza kudhani.mtangulize Mungu sana.u just have to stand tough for the sake of ur kids na mumeo.ntakuombea pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom