mwanajimbah
Member
- Jun 27, 2012
- 95
- 21
wat goes around comes around yameshamkuta huyo...unajua wakati mwengine binaadamu tunafikria yaliyopo sasa tu hatufikirii out of the box...
Ushauri wangu kwako ni kwamba huyo ndio baba mzazi wa huyo mtoto ijapokuwa alishamkataa na kwa nilivyoelewa hakusaidii katika malezi/matunzo ya huyo mtoto..lakini huwezi kubadili fact kwamba yeye ndio biological father.hata hili suala likichukuliwa kisheria huyo mwanaume ana haki ya kuwa baba wa huyo mtoto.na huyo mtoto ana haki ya kumjua babaake mzazi.
Naelewa misukosuko ulopitia nakupa pole sana kwa hilo lakini kumbuka ukifikiria sana jinsi watu/jamii watakavyokufikiria hutoendelea.katu usifanye kitu kumridhisha mtu au watu, fanya kitu kwasababu nafsi yako inataka hivyo isitoshe lolote utakalofanya watu hawakosagi la kusema.
Kuhusiana na mumeo anajua tangia ulipokuwa mjamzito kuwa huyo mtoto si wake,sidhani kama atakosa uelewa iwapo baba mzazi wa mtoto akitaka mwanae,yeye ndio mlezi mkuu wa huyo mtoto na kitu kimoja ni kwamba thamani yake haitoshuka kwa huyo mtoto abadani,mtoto anamthamini yule anaemlea kwa upendo...
word word word.,.critical thinker...by the way nibora kua mwazi kwa kila mtu namaanisha pand zote mbil kwa mume na nyumban kwa bint..then after al zungumzen na baba wa mtoto na kila mtu apewe hakh ya kumlea huyo mtoto bcoz nyote mu wazazi wake..na sio mikwaruzano kujakutibua ndoa yako.