Ndo hapo sasaHuko kwenye ndoa huwa mnafuataga nini kama mnaomba ushauri wa hivi?
Sijui nigairi kuolewa asee



usiache bhana kuna wanaume na wenye uume.Na mke akijua amani inavurugika, atalazimika kuishi maisha ya gharika tuuuuAchaga ujinga mkuu. Unaingia kwenye mapenzi Hadi unajisahau kabisa. We unaona ni sawa tu kuombwa mtoto nawe una ndoa yako, mwenzio anachotaka ni ukishazaa nae tu lazima mkeo ajue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mwenye uume tuMleta mada ana uume!🤣🤣🤣🤣🤣