Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Yes,for my sons sake
umetumia akili sana.....

Mkasa wako ni kama wa kwangu thou tofouti ipo kidogo hapo mimi nilikuwa natuma pesa ya matumizi ya mtoto wangu ila mama yake anajikuta kiburi kidogo kwa kunilaumu muda wote eti hakuwa tayari kuwa na mtoto and kwanini nilimpa ujauzito?

Akafanya tifu tifu kibao full kutishiwa but sikuteteleka nikaendelea kumwambia my concern is my son wewe ukiamua kuolewa na mtu mwingine its okay... full kuni block but naona hivi majuzi akili imemkaa sawa ameanza kujileta coz mtoto anataita baba and anashindwa muonesha baba yake....

Nitampa probabation period kwa muda but mwishoni nitamwoa tu coz nampenda sana and sitaki my son alelewe na mjamaa mwingine kabisaa....
 
Heeee makubwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kumbe ana fix hu huu huu...

Numbisa nimekunyanyulia mikono[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Alafu mkali kama ndimu mbichi
 
Yes at the end of the day watoto ndo wanaamua,it's life
 
Yes at the end of the day watoto ndo wanaamua,it's life
yes hata mimi naona hivyo for the sake of our child anaamua kurudi tu....

and nitampokea kwa mikono yote miwili.....

and Mungu atatubariki tuongeze wengine wawili....
 
Sijakuelewa.
Kaburi gani nililofukua?
Gnt mamy,that's me,and is still sijakana na sitokana whatever i posted here,am a human being with fillings and blood,am not a bongo movie
 
Gnt mamy,that's me,and is still sijakana na sitokana whatever i posted here,am a human being with fillings and blood,am not a bongo movie
Naona hatuelewani.Usiku mwema
 
muhimu mtoto amjuwe baba yake akiwa wa kiume hata ukizuia atamtafuta baba yake kaa na mtoto mfahamishe ilivyo',na pia ongea na baba wa mtoto ikiwa hataki kukupa ushirikiano basi ongea na mtoto mfahamisha hilivyo
 
Hapo ,huna mpango wa kuzaa tena kwa sababu gani??? Please usimruhusu MTU mmoja akuaribie mipango yako bibie kwani wewe sio single mom wa kwanza kuna wenzako kibao walitelekezwa na wakaanzisha familia nyingine pia hawakuruhusu hiyo situation iwarudishe nyuma.
Labda kama ulipanga kuzaa mtoto mmoja maishani ,lakini kama la ..fikiria tena .
Kiukweli una moyo ,mi sijui kama ningruhusu arudishe mironjo yake kunitafta eti anamuulizia mtoto wake ......
 
Hutaki kuzaa tena wakati upo na mwanaume mwingine hapo, au ndio unamchuna tu
 
Acha ujinga msimuhusishe mtoto na mitazamo yenu ya kukomoana kwani anayepoteza haki ya msingi ni huyo mtoto kutoenjoy mapenzi ya baba na mama, kuweni wise hata kama hamuishi pamoja muonyesheni mtoto upendo, mtafute baba wa mtoto mzungumze muweke plan achaneni na mipango ya kumuweka mtoto kwenye ligi ya kuharibu ustawi wake
 
Me nina ushauri tofauti kabisa...... mpe akuweke mimba tena nina wasiwasi jamaa unamzimia tu automatically
 
Pole kwa hayo na hongera kwa kumlea mwanao, usimpe mtoto hadi mtoto atakapojitambua na kumljipeleka mwenyewe kwa baba yake.
 
Ndio maana kila siku tunawasisitiza wanaume wenzetu kaamweee usijihusishe na single mother, huyu alikua analalamika juzi tu na akadai ana mpenzi mwingine "and they are happy" jana anasema anategemea kuolewa soon na huyo alomzalisha hahahaa kijana wa watu huko aliko analia na moyo.

K A M W E USIGUSE WALA KUJIDAI KUMPENDA Singo maza hawajielewi na muda wowote unagongewa. Utajutaaa
 

Attachments

  • IMG_20171028_072438.JPG
    30.2 KB · Views: 30

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…