Anataka kuzaa na mtoto mdogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anataka kuzaa na mtoto mdogo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MUREFU, Mar 10, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia anataka kuzaa na msichana ilimrad awe na mtoto wakat anaendelea kutafuta mke taratibu. Na mm kwakuona umri wake kwel umekwenda nikamkubalia wazo hilo. Sasa tatzo linakuja amejenga mazoea na msichana mdogo (ambaye ni rafiki wa mdogo wangu wa kike pia) 18 ambae amemaliza form 4 hv juz na ameniambia anataka kuzaa nae. Mimi huyo msichana ananiheshimu kama kaka yake baada ya jamaa kujakuniambia anataka kumzalisha yule msichana hatuelewan kabisa baada ya mimi kumpinga kias kwamba kampiga marufuku yule msichana kuja home. Alafu pia kamkataza kuongea na mdogo wangu je wanathnker nifanyeje nimuokoe huyu mdogo wangu?
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Umeshasema ana miaka 18 na kamaliza secondary huyo hana udogo labda kama ulikuwa unamtaka na jamaa kakunyang'anya tonge mdomoni.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Miaka kumi na nae wa karne hii ni mtoto?labda vile hajamaliza kusoma.....anafanya nini kwa sasa?? isije kuwa hajafanya vizuri form four,amekata tamaa,na huyu mwanaume ana take advantage anataka kumuharibia? mwambie asikubali kuwa mashine ya kuzalisha watoto na mwanaume asiyempenda.......!!!!

  mshauri huyo msichana asubiri kidogo ila uamuzi wa mwisho utabaki kuwa wake na si wa kwako.....!!!
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  18+ ni mtoto?? Huyo mkubwa mwenzio kaka
   
 5. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  amelaniwa huyooooo!!!

  kama kakosa kabisa mwambie aje azae na mie natafuta mtoto!!! kuliko amuharibie mwanafunzi maisha yake alafu badae atafute mke wa kuoa je hiyo ni akili au matope?????
   
 6. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  m2 wangu ninajiheshimu na nilichokuwa najarbu kuangalia huyu jamaa hana mpango wa kuish na huyu msichana anataka kuzaa nae hvyo anaweza akampotezea future yake bure na mm ninaona hcho ki2 co kizur hebu fikiria mara mbiki
   
 7. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  We nawe! Ulitakiwa kumshauri aoe tu na awajibike kwa familia yake. 30 years inamtosha kabisa kuchukua majukumu ya kifamilia. Siamini kama kuna mwanamke anayependa kuzalishwa tu alafu baba asichukua jukumu lake.

  Kama upo sirias, toa taarifa kuhusu fataki huyo kwa vyombo vya dola na mashirika ya kutetea haki za watoto
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Suz mbona hujasema mapema wazalishaji tumejaa tele humu lol!
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,730
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red " anataka kumfanya binti wa watu kiwanda cha kuzalisha mtoto kwanini hajasema anataka binti wa kuoa na kuzaa nae mtoto" au huyo binti amemwambia anataka kuzaa hataki kuolewa
   
 10. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  sawa ninajua kuwa uamuz wa mwsho ni wake kwa hv Sasa anataka kujiunga na chuo japo hajafanya vzur mana huyu msichana ni kama mdogo wangu mana ni rafik wa karbu sana wa mdogo wangu wa kike kinacho niuma mm ni huyu jamaa uamuz anautaka kufanya kumzalisha na hana mpango wa kuendelea nae mana yeye anataka mtoto 2uu na hv sasa hatak kuongea na mm wala kujuana
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Vyombo vya dola hawatafanya lolote binti ana zaidi ya 18 na huyu jamaa anataka mtoto kwahiyo hamna uwezekano wa yeye kutowajibika kwa mama/mtoto hayo ya ndoa ni mengine.
   
 12. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hebu nisaidie nifanyeje mana huyu mtoto anaogopa kuwa na mm mana jamaa amempga marufuku kuniona na mimi au mdogo wangu ninashndwa kumshaur mana cjui kama anatumia akir au
   
 13. c

  chetuntu R I P

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo naipinga kabisa sawa binti 18, lakini huyo kaka sio kama anampenda yeye anataka mtoto tu , then atafute mke wa kuoa. Atamharibia future huyo binti na kumwacha na maumivu. Si atafute mke fasta kama ana kiu ya mtoto. Dadake akifanyiwa hvyo atajisikiaje? Kwan binti hana mpango wa kujiendeleza??Hata kama hana sio kumfyatulia mtu mtoto tu kwa sababu huyo kaka anataka mtoto.
   
 14. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ckatai ninafikir nilichemka kumwambia azae na mwanamke alafu ndo aoe khs kufikishana kwny vyombo vya dola cshndw ila ni m2 mmoja wapo ninaemtegemea katka kunisupport katka biashara zangu ila nikiona vipi nibora iwe hvyo kaka
   
 15. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  18 sio umri wa mtoto. kama wanapendana basi tuwaache. lakini kama ishu ni kum,zalisha mtoto wa watu afu asimuoe hapo ndo soo ilipo.
   
 16. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kaka tatzo anapesa na ameona umri umzid kwenda
   
 17. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwanza wewe alipokuomba ushauri wa kutaka kuzaa, wewe ulifikiri atazaa na nani? Na kwanini liwe tatizo kwa kuwa uanataka azae na rafiki wa dada yako? Kwahiyo unataka kusema kuwa kama angetaka kuzaa na mdogo wa mathalani (Pretty) ingekuwa pouwa tu? Kama ningepata contacts za huyo jamaa ningemwambie amzalishe dada yako kwa kuwa wewe huna huruma na dada za wenzio ila uchungu wa kunyang'anywa tonge. period
   
 18. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  bint anasoma chuo nw j
   
 19. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kaka sinamahana mbaya hata kama angekuwa mdogo wako bado ningeumia kifikira zangu nilitegemea angetafuta m2 anaekaribia umr au wanaringana umri yan ingekuwa rahs hata yeye kuja kubadil mawazo na kuja kumuoa lakn huyu itakuwa vigumu kuja kubadil fikira
   
 20. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Uharibifu wa nini jamani? Kumzalisha msichana mdogo kwa lengo la kumwacha hapo tu ilmradi... Aaaah, nashindwa hata kuandika.... Kwa nini asimuoe???
   
Loading...