Teh teh teeeh!! I know darling.Sijalielewa hilo honestly, maana kama mtu hapendi mfupi kweli, akitokea tu mfupi ni anakataliwa instantly. Labda kuna vitu havipo ok akaona atumie excuse ya kuwa he is short ili amuache. (They fell in love even before they met, umenielewa eeeh teh)
Haya tushajua wewe ni mrefu.It ain't . Inatokea majority ya watu wa group fulani kunafanana tabia fulani, (kwa mfano wasukuma na ushamba); So sijawanyanyasa. Hata warefu tuna tabia zetu mbaya za kufananana pia
Eti siku ya kwanza hakumuona vizuri hahaTeh teh teeeh!! I know darling.
Huyu kuna sababu zaidi ya ufupi bwana, hii ni excuse anatumia.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hata nyie kwenye story zenu utakua "ana chura balaa,ana kifua kilichojaa etc" so its normal
Ni mimi mwenyewe.hiyo avatar huyo ndo pogba au??
PossibleKabamia??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Eti siku ya kwanza hakumuona vizuri haha
Si unatujua zetu "tunafahamiana" ndani ya mahusiano. Kuna vitu vimebuma[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alikuwa kalewa au ndio pesa zilitawala maamuzi!!
Hujamsoma vizuri? Jamaa alikuwa mkoa ndio kaja Dar kamgundua ni mfupi. So its obvious ni yale mambo yetu ya blind date halafu mnaanza kuitaba bae kabla ya kuonana mubashara na unawaambia marafiki shem wenu yuko mkoa/ulaya sasa akija ndio unagundua picha zinaeefusha,zinaremba,zinajaza misuli etc.Hahaaaa! Unaanza kumwambia tangulia nitakuja kumbe hautaki watu wakuone na andunje!
Ila inakuwaje watu mnakubaliana hadi mnaanzisha mahusiano then baadae unaanza kujiuliza, inamaana alikuwa mrefu then akawa mfupi ghafla!!
Au ndio ile unasikiliza mashosti ndio wanakuamulia!!
haikua blind date bana em soma post no 6....Hujamsoma vizuri? Jamaa alikuwa mkoa ndio kaja Dar kamgundua ni mfupi. So its obvious ni yale mambo yetu ya blind date halafu mnaanza kuitaba bae kabla ya kuonana mubashara na unawaambia marafiki shem wenu yuko mkoa/ulaya sasa akija ndio unagundua picha zinaeefusha,zinaremba,zinajaza misuli etc.
HUU ni utoto!HAWA ndio mabinti wanaopenda ubrazaman tu ktk maisha ila sio maisha.Nina huyu cuzo wangu ana bwanake,the guy ana kazi nzuri tu,kapole,he is a gentleman,anampenda sana my cuzo like sana yani and all that(kwa mimi navomuona).
The problem ni kwamba cuzo angu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.
Back then walikua wanapenda sana tu,my cuzo alikua haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alkua mkoa mwingine kikazi.
I started noticing changes the guy alipokuja dzm,first time cuzo akaomba twende ote,basi tukameet...tuka have fun hivo...
Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa...
Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae....kumuuliza why,anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.
Me nikamwambia kama u love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine,akasema hana kingine zaid ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasaabu hiyo.
I pity the guy coz yani ni kapole,kahandsome tu sema ndo hivo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.
Basi the guy hua ananiuliza kama my cuzo truly loves him,kama pia humuongelea nikiwa nae...basi me naishia kumpa moyo tu.
nauliza jamani is this right???
wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?
wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii???
Oh kwahio siku hio hapo shop alikuwa mrefu kidogo?!haikua blind date bana em soma post no 6....
Tulikutana nae shop flan but alikua amekaa sa ndo akaomba namba...
After hapo ktk kuwasiliana kwao,the guy akamwambia kahamishwa mkoa kikazi....saa alivorud dzm likizo ndo wakaonana fresh ndo aka notice
Vp ndugu yako ana churahata nyie kwenye story zenu utakua "ana chura balaa,ana kifua kilichojaa etc" so its normal