Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Amenichekesha mnooo. Nina cousin angu tall, mwili wake wa kinyaki, afu mumewe mfupi, aisee how I wish lol. Wanaishi vizuri mnooo, and my sis is so proud and grateful for him. Yani rahaaaaHahahhahaha,ss km miaka yote baba ni mrefu unafeel protected kivipi ukipata hubby mfupi.,mtihaniiii
Weeee usiombe upatweHahahhahahahahahaha gubuu lol..
Ni kweli, kutaka the complete package basi umba wako. Angalie kile cha msingi tu hayo ya urefu na ufupi ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, ni kitu kiko nje ya uwezo wake na hakupanga kuwa hivyo.Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete package
Kwahiyo walifahamiana kwenye mitandao sio,so alipokuja dar ndio wakaonana for the first timethe guy alikua mkoa na alivokuja dzm wamemeet mara mbili tu ya pili ndo kagundua ufupi,mara ya kwanza haku notice mana hatukukaa nae sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usiombe upate mwanaume mfupi mwenye tabia za "kifupi"
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani wewe huna kigezo chako ?acheni habari zenu mkichagua nyie ni sawa ila tukichagua sie inakuwa tatizo. Huwezi kuwa na mtu mmesimama anakufikia kiunoni.
Yani kuna siku nilicheka hadi aunt akanimind. Unatujua wanyaki vizuri, my aunt ni tallll ana mwili, afu mumewe ni mfupi kibonge (gubu lake sio la nchi hii). Sasa kuna mtu alienda kumuulizia aunt home hakumkuta, akamkuta uncle tu. Sasa ile mgeni anaondoka, akakutana na aunt njiani, ndo kumwambia nimetoka kwako nimemkuta mtoto wako wa kiume (uncle), aunt akapiga "wee vipi, me naweza kumzaa mtu mzima kama yule". Aunt ananisimulia amenunaa, me nilicheka hadi akanimind[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani ni shida, gubu mtindo mmoja.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti mwanao wa kiume!!Yani kuna siku nilicheka hadi aunt akanimind. Unatujua wanyaki vizuri, my aunt ni tallll ana mwili, afu mumewe ni mfupi kibonge (gubu lake sio la nchi hii). Sasa kuna mtu alienda kumuulizia aunt home hakumkuta, akamkuta uncle tu. Sasa ile mgeni anaondoka, akakutana na aunt njiani, ndo kumwambia nimetoka kwako nimemkuta mtoto wako wa kiume (uncle), aunt akapiga "wee vipi, me naweza kumzaa mtu mzima kama yule". Aunt ananisimulia amenunaa, me nilicheka hadi akanimind
Mwambie aendelee kuchagua,ila atakapofikisha 28 hakijaeleweka asimlaumu Mungu hajampa mume.wkt nafasi alishaichezeaNina huyu cuzo wangu ana bwanake,the guy ana kazi nzuri tu,kapole,he is a gentleman,anampenda sana my cuzo like sana yani and all that(kwa mimi navomuona).
The problem ni kwamba cuzo angu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.
Back then walikua wanapenda sana tu,my cuzo alikua haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alkua mkoa mwingine kikazi.
I started noticing changes the guy alipokuja dzm,first time cuzo akaomba twende ote,basi tukameet...tuka have fun hivo...
Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa...
Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae....kumuuliza why,anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.
Me nikamwambia kama u love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine,akasema hana kingine zaid ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasaabu hiyo.
I pity the guy coz yani ni kapole,kahandsome tu sema ndo hivo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.
Basi the guy hua ananiuliza kama my cuzo truly loves him,kama pia humuongelea nikiwa nae...basi me naishia kumpa moyo tu.
nauliza jamani is this right???
wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?
wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii???
Ma', kuna vitu kweli mtu hawezi kucontrol, but kama mtu huwezi kuhandle (kuishi nacho) hicho kitu/udhaifu, it's better mtu akaquit. Usikubali kuwa na mtu kwa sababu unamuonea huruma maybe. Hajachagua kuwa hivyo, but hamnaga ndoa ya kuoneana huruma na huwezi kubeba dhaifu la kitu mtu. Kama upo comfortable then mchukue tuNi kweli, kutaka the complete package basi umba wako. Angalie kile cha msingi tu hayo ya urefu na ufupi ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, ni kitu kiko nje ya uwezo wake na hakupanga kuwa hivyo.
Hupendi kuchanganya mbegu? Teh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti mwanao wa kiume!!
Alafu sijui kwanini wanaume wafupi wanapendaga wanawake warefu.
Suala sio kumuonea huruma, bali kuangalia cha msingi ni nini!!Ma', kuna vitu kweli mtu hawezi kucontrol, but kama mtu huwezi kuhandle (kuishi nacho) hicho kitu/udjaifu, it's better mtu akaquit. Usikubali kuwa na mtu kwa sababu unamuonea huruma maybe. Hajachagua kuwa hivyo, but hamnaga ndoa ya kuoneana huruma na huwezi kubeba dhaifu la kitu mtu. Kama upo comfortable then mchukue tu
Hahaaaa!! Kwamba mtazaa viemolo sio!! Alijisemea jje's kuwa yeye mwanaume lazima sura iwe na muelekeo hataki kuharibiwa watoto.Hupendi kuchanganya mbegu? Teh
Jiweke basi kwa uyo shem ako andunjesawa mkuu
Nakuelewa vizuri, me nikiwa na mtu mfupi, aisee itabidi tu ubaki na "I tap into this" lol. But mtu mwingine ni hayupo comfortable kabisa na mwanaume mfupi, kiasi kwamba inaaffect mahusiano yao. Hajisikii comfortable kuonekana naye, and sijui kama kuna kitu kinaumiza kama kuwa na partner who isn't proud of having you. Anakuwa sawa na mwanaume ambaye ana mwanamke mnene/ hana chura na hayupo comfortable naye, au ku-date na mwanaume asiye na hela teh.Suala sio kumuonea huruma, bali kuangalia cha msingi ni nini!!
Kweli mtu ana qualities zote uzitakazo kisa ufupi tu umuache!! How if utampata mrefu bt hana zile qualities zingine ambazo zinamata zaidi!!
Ye aamue tu kwa kujiridhisha, hopefully hatokuwa na majuto baadae.
Hahaha na watoto walivyo na hila, hawakawii kurithi ufupi wa babu mzaa babuHahaaaa!! Kwamba mtazaa viemolo sio!! Alijisemea jje's kuwa yeye mwanaume lazima sura iwe na muelekeo hataki kuharibiwa watoto.